Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

Yaani jaribu ku imagine mtu mwenye logo kama hii anajaribu kuwafundisha vodacom na Nbc jinsi ya kutengeneza logo,embu angalia huo mchanganyiko wa kachumbari kwenye hiyo nembo mara mwenge, mara ngumi mara netball dah inasikitisha sana

View attachment 1965747
hii logo ipo kabla babu yako hajazaliwa, nyau we
 
KUNA TIMU ILIJITOA UFAHAMU NA KUJIFANYA NI YA KIZUNGU NA KUDHARAU ASILI YAKE KWA KUJIITA "SUNDERLAND". SERIKALI IKAPIGA MARUFUKU UJINGA HUO NA KUTAKA MAJINA YENYE ASILI YETU, NDIPO TIMU HIYO IKATOKA USINGIZINI NA KUBADILI JINA KUWA SIMBA, WAKATI HUO, TIMU NYINGINE TOKA AWALI ILIRINGIA ASILI YAKE LA ' VIJANA CHIPUKIZI WA KIAFRIKA WA DAR ES SALAAM( Dar es Salaam Young Africans). INASHANGAZA TIMU MOJA MPAKA IFUNDISHWE NA SERIKALI KURINGIA ASILI YAKE!
Huko Utopolo wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK waliobakia wote ni mazwazwa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa Utopolo.
 
Lazima uelewe kuwa Yanga ni kubwa kuliko TFF

Hizi kanuni zilokuwepo kipindi cha Vodacom nadhani wakumbuka mkwara Tenga alopiga? Lakini Yanga walivaa nyekundu?
Yanga kubwa kuliko serikali?!!...Hizi akili mnatoa wapi?
 
Back
Top Bottom