Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

Luc ndiye kawaelezea vizuri sana Utopolo,wanachoweza ni kuzomea zomea tu kama nyaniView attachment 1965725View attachment 1965726
KUNA TIMU ILIJITOA UFAHAMU NA KUJIFANYA NI YA KIZUNGU NA KUDHARAU ASILI YAKE KWA KUJIITA "SUNDERLAND". SERIKALI IKAPIGA MARUFUKU UJINGA HUO NA KUTAKA MAJINA YENYE ASILI YETU, NDIPO TIMU HIYO IKATOKA USINGIZINI NA KUBADILI JINA KUWA SIMBA, WAKATI HUO, TIMU NYINGINE TOKA AWALI ILIRINGIA ASILI YAKE LA ' VIJANA CHIPUKIZI WA KIAFRIKA WA DAR ES SALAAM( Dar es Salaam Young Africans). INASHANGAZA TIMU MOJA MPAKA IFUNDISHWE NA SERIKALI KURINGIA ASILI YAKE!
 
Ungejipa kuda kidogo kutafuta juna halisi la hiyo timu pia herufi S kushoto mwa logo na herufi C kulia zina maana gani?

Hiyo ni Young Africans Sports Club.
Maana yake ni kilabu ya michezo zaidi ya mmoja. Ilisajiriwa kama club ya michezo mbalimbali ilipoundwa.
Hiyo michezo wamekuwekea kwenye logo yao hata kama kwa sasa hawana timu za michezo hiyo mingine.

Ilifanywa hivyo lengo likikuwa kupata uhalali wa kukusanya pamoja vijana wapigania uhuru bila mkoloni kuwawekea vikwazo.
 
Yanga toeni hivyo vikatuni vya netiboll na ngumi

Nyie no club ya soka
 
Sawa iakini na kanuni za yanga ziheshimiwe
 
...Baelezeee hao mikia fc wasiojua historia ya mpira wa nchi hii
 
hatunaga rangi nyekundu clubuni kwetu, hiyo ni kanuni yetu, msitutishe.
 
Sasa hiyo young kiswahili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…