Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

hii logo ipo kabla babu yako hajazaliwa, nyau we
 
Huko Utopolo wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK waliobakia wote ni mazwazwa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa Utopolo.
 
Lazima uelewe kuwa Yanga ni kubwa kuliko TFF

Hizi kanuni zilokuwepo kipindi cha Vodacom nadhani wakumbuka mkwara Tenga alopiga? Lakini Yanga walivaa nyekundu?
Yanga kubwa kuliko serikali?!!...Hizi akili mnatoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…