Simba wapo overrated sanaNasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.
Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.
Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.
Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Hakuna cha cha kulifanyia kazi, hapo mbadilishe tu mganga tofauti na hapo yanga watawaliza vibaya mno.Kufungwa ndio kujifunza.
Kumbukeni hii ni Robo Fainali Club Bingwa Afrika.
Tutayafanyia kazi mapungufu.
Tuache unafik ndugu yangu kapombe hakua sawa ata kuna wengine wamekosea usikatae na yy kukosolewa kuna mipira kama mitatu kapombe ilimpita kwa kujisahau ,la msingi tuseme ukwel uwezo wa wachezaj wa simba umeishia pale hawana wachezaj wa kucheza nusu fainal ila ni majuto sana maana katika miaka ya iv karibun naona mwaka huu simba kama wangezid kujipanga wangefika mbal ila mazoea yamewaponza kuna hatua ktk mpra uitaj wachezaj wanaotegemea maelezo ya kocha tu nimekua niikifuatilia simba ina aina moja tu ya mpra pasi ni hatar sana ktk hatua kama ya kwenda nusu fainal ni hatua kubwa unaitaj wachezaj ambayo wanaweza kubadilka kulingana na mazingra ,yote kwa yote viongoz wajifunze na wajue mpra sio kukaa hotel za nyota 5 au kuaid bonus unaitaj kwanza wachezaj karbu kum ambao wapo imara kwa kila sehem mfano simba ata ktk lig ya ndan ni udhaifu tu wa wachezaj wa timu nyngine ila simba ina matatzo kila eneo ni hii yote kuoneana aibu na kuendelea kuwakumbatia kila mchezaj mm bado naona simba inaitaj kiungo ambae machachar zaid ya lwanga na aliekua shap pia bek wawa kapombe wanaitaj wasaidiz kuwazd wao ambao wanaweza kucheza mipira ya juu na chin upande wa mawinga sina tatzo nako ila pale mbele tukubal tu zama za boko na kagere zimeisha lazma wapate mtu kumzd mugalu ambae mwenyewe tu atakua na uwezo wa kutumia ata nafas chache ,na uwezo wa kuwasaidia wenzie na pia bado simba wanashindwa kusaidiana asa asa katika mipira ya kona na kros na fauro viungo na mabek linapokuja suhala la kukaba ni wavivu mwaka wa tatu huu tatzo ilo bado lipo ,bado najiulza simba washakubal timu yao nzur ad kushindwa kuongeza wachezaj wa maana walipopata nafas kufanya ivyo ,kama wana simba tukubal kwa mwaka huu tumeishia apa ni suhala la viongoz na makocha kujipanga kujua wap na wap pana shida wajue cha kuongezaMnatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu na kwa vile mnawachukia watanzania wenzenu Shomari na Mood mmeamua kusemea mbovu ili waonekane wamechomesha. Sababu ziko wazi na ni mbili au tatu tu na katu haziwahusishi Kapombe na Zimbwe peke yao.
1.Kutoheshimu mpinzani.
Kwa hili Simba walifeli ndani ya dk 10 tu za awali wakicheza na timu kubwa Afrika utadhani wanacheza na Dodoma jiji.
2.Lack of second & third plans.
Angalia aina ya magoli waliyofungwa yanvyofanana, angalia jinsi walivyotumia mbinu zilezile kutaka kupenya ngome kwa style iliyofeli tangu mwanzo.
3.Beki mbovu ya kati.
Hapa ndo mnaposhindwa kusema ukweli. Simba wamekuwa na ugonjwa huu muda mrefu na mashabiki wake mnajaribu kuufunika sijui kwa faida ya Nani? Wawa kafanya makosa kuliko mchezaji yeyote jana uwanjani, Onyango kakosa utulivu kama beki anayepaswa kujua mtindo wa adui na kujipunguzia au kujiongezea majukumu. Lakini pia ni hawa wawili wanaotakiwa kufuta makosa ya wachezaji wengine wote kwani wakiacha kosa liendelee timu inaadhibiwa.
Mfano wa ubovu wao;
Angalia upya goli la NNE.
Wakat simba amemiliki mpira kwa 68% na kaizer 32..kumbe ndo kucheza chini ya kiwango?Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.
Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.
Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.
Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Yes ofcoz u r very right..tactics mate tactics...ndizo ziliwamaliza simba. This is next level bwana. Huku ligi yetu twajua kucheza 4-4-2 tuu. Jana simba walikutana na changamoto ya kimbuni na walishindwa kulitatua.Simba hawakucheza chini ya kiwango kabisa.
Watu wengi wanachukulia Simba kutokufunga ndo wamecheza chini ya kiwango angalia ni timu ipi iliposes mpira sana kama siyo simba?
Tuache unafiki
Simba walizidiwa mbinu na tatizo jingine simba walikaa muda mrefu bila mechi tofauti na wapinzani wenzao.
Na hata wanapokuja watu wanasema korona imeisaidia sana simba kufika hapo muelewa sana maana wakati ligi yetu ikiendelea mataifa mengi walikuwa hawachezi
Tatizo ni plan ya simba, simba wanastaili moja tu ya kucheza yaani viunngo wegi .
Wakijua hasa kuwa hatari wanayoweza kuipata ni kurehusu kapombe apande hivyo wakampangia jamaa mwenye nguvu, na kumfanya kapombe asipande, jamaa akagundua siyo kapombe tu Bali hata shabalala ndo akaamua kumwingiza mchezaji mwingine dkk ta 35 Tu akimpa jukumu la kumbana asipande .
Simba ikibanwa mafullbeki wake hawawezi tokea pembeni watataka kupitia Kati na jamaa walikuwa wameshawawin katikati kabisa .
Jamaa waliwaacha wacheze mpiara wao wakatumia counter attack kuwamaliza .
Walikuwa na nidham ya mchezo Sana walipokuwa hawana mpira walirudi wote au kuacha mtu mmoja mbele walikuwa wanapanua uwanja ili kueanyima Simba kukimbia na one touch zao za karibu karibu.
Simba wamecheza sana lkn walizidiwa mbinu na kaizer chiefs
Hebu nyoosha maelezo basi! Au ni hawa wadhamini wa Yanga (GSM) wamewahonga hao Kaizer Chiefs ili wawafunge?Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.
Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.
Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.
Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Mechi fitness nayo iliimaliza Simba.. Kutokucheza kwa wiki 2 ilhali wao Kaizer kabla ya mchezo na Simba walishapiga gemu kama 3 Hivi.Simba hawakucheza chini ya kiwango kabisa.
Watu wengi wanachukulia Simba kutokufunga ndo wamecheza chini ya kiwango angalia ni timu ipi iliposes mpira sana kama siyo simba?
Tuache unafiki
Simba walizidiwa mbinu na tatizo jingine simba walikaa muda mrefu bila mechi tofauti na wapinzani wenzao.
Na hata wanapokuja watu wanasema korona imeisaidia sana simba kufika hapo muelewa sana maana wakati ligi yetu ikiendelea mataifa mengi walikuwa hawachezi
Tatizo ni plan ya simba, simba wanastaili moja tu ya kucheza yaani viunngo wegi .
Wakijua hasa kuwa hatari wanayoweza kuipata ni kurehusu kapombe apande hivyo wakampangia jamaa mwenye nguvu, na kumfanya kapombe asipande, jamaa akagundua siyo kapombe tu Bali hata shabalala ndo akaamua kumwingiza mchezaji mwingine dkk ta 35 Tu akimpa jukumu la kumbana asipande .
Simba ikibanwa mafullbeki wake hawawezi tokea pembeni watataka kupitia Kati na jamaa walikuwa wameshawawin katikati kabisa .
Jamaa waliwaacha wacheze mpiara wao wakatumia counter attack kuwamaliza .
Walikuwa na nidham ya mchezo Sana walipokuwa hawana mpira walirudi wote au kuacha mtu mmoja mbele walikuwa wanapanua uwanja ili kueanyima Simba kukimbia na one touch zao za karibu karibu.
Simba wamecheza sana lkn walizidiwa mbinu na kaizer chiefs
Ujinga wa Simba siku zote ni kuingia na matokeo yao ndani ya uwanja. Bila shaka watapunguza mdomo! Wanachonga sana paka hawa! Wakiongozwa na yule mpuuzi wao Hajji Manara.Kilichowafanya wakimbie mechi na yanga kwa nia njema ndo hayooo
Ni kweli simba ina tatizo kubwa na Gomezi anaelekeza wachezaji lakini hawafuati maelekezo.Mnatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu na kwa vile mnawachukia watanzania wenzenu Shomari na Mood mmeamua kusemea mbovu ili waonekane wamechomesha. Sababu ziko wazi na ni mbili au tatu tu na katu haziwahusishi Kapombe na Zimbwe peke yao.
1.Kutoheshimu mpinzani.
Kwa hili Simba walifeli ndani ya dk 10 tu za awali wakicheza na timu kubwa Afrika utadhani wanacheza na Dodoma jiji.
2.Lack of second & third plans.
Angalia aina ya magoli waliyofungwa yanvyofanana, angalia jinsi walivyotumia mbinu zilezile kutaka kupenya ngome kwa style iliyofeli tangu mwanzo.
3.Beki mbovu ya kati.
Hapa ndo mnaposhindwa kusema ukweli. Simba wamekuwa na ugonjwa huu muda mrefu na mashabiki wake mnajaribu kuufunika sijui kwa faida ya Nani? Wawa kafanya makosa kuliko mchezaji yeyote jana uwanjani, Onyango kakosa utulivu kama beki anayepaswa kujua mtindo wa adui na kujipunguzia au kujiongezea majukumu. Lakini pia ni hawa wawili wanaotakiwa kufuta makosa ya wachezaji wengine wote kwani wakiacha kosa liendelee timu inaadhibiwa.
Mfano wa ubovu wao;
Angalia upya goli la NNE.
Hili linaonyesha udhaifu mkubwa kwa forwardNasikia simba shots on target 0.
Povu la nn mkulu mnajisema sana ni watu wa ku ku ku ku si ndo hiyo walizidiwa maarifa ya kupenya ngome ya kaizer chiefs otherwise mpira walichezaSimba wamecheza? wamecheza nini, zile pass za kupigiana nyuma mbele nyuma mbele ndio kucheza? wapi umeona hata kum test kipa wa Kaizer au kuwazunguka beki za Kaizer. Nachukia sana kuona team inafungwa 4 halafu anakuja mtu anasema lakini tume poses mpira ni malengo na mpira ni magoal sio kumiliki mpira halafu umiliki wenyewe hauna maana yoyote mipira yote waliyotaka kupiga kwenye 18 wale Kaizer wali deal nayo yote. Kaizer ni warefu na wakatumia silaha ya urefu wao na uhakika Simba hawakufanya homework kuhusu hawa jamaa nguvu zao ziko wapi. Simba jana wamecheza mpira mbovu kabisa na kiwango cha jana ndio kile cha zamani cha tano tano.
Wakifunga mnamihemuko kweli mnashangilia mpaka basi kwa nini msikubali Tu kuwa walizidiwaKapombe kafungisha goli kama lile lile alilofungisha ktk mechi ya Dodoma Jiji. Haruki juu hata kidogo.
Hizo ndo figisu zao walijificha kwenye kapu la tff ili wasicheze wasije wasaoz wakawajulia mbinu zao ona sasaaaaaKukaa bila kucheza mechi ndio tatizo kubwa kama umewai kucheza soka utaelewa ilo.na walituzidi mbinu za uharaka kufika kwenye nox letu
Gomez kila muda alikuwa anapiga kelele kuwa twende kwenye box lao ila wapi, tujipange mechi ijayo
Huu uchawi wao utawaponza sanaHakuna cha cha kulifanyia kazi, hapo mbadilishe tu mganga tofauti na hapo yanga watawaliza vibaya mno.