Simba wamecheza chini ya kiwango, kuna kitu

Simba wamecheza chini ya kiwango, kuna kitu

Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.

Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.

Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.

Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Simba wapo overrated sana
 
Mnatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu na kwa vile mnawachukia watanzania wenzenu Shomari na Mood mmeamua kusemea mbovu ili waonekane wamechomesha. Sababu ziko wazi na ni mbili au tatu tu na katu haziwahusishi Kapombe na Zimbwe peke yao.
1.Kutoheshimu mpinzani.
Kwa hili Simba walifeli ndani ya dk 10 tu za awali wakicheza na timu kubwa Afrika utadhani wanacheza na Dodoma jiji.
2.Lack of second & third plans.
Angalia aina ya magoli waliyofungwa yanvyofanana, angalia jinsi walivyotumia mbinu zilezile kutaka kupenya ngome kwa style iliyofeli tangu mwanzo.
3.Beki mbovu ya kati.
Hapa ndo mnaposhindwa kusema ukweli. Simba wamekuwa na ugonjwa huu muda mrefu na mashabiki wake mnajaribu kuufunika sijui kwa faida ya Nani? Wawa kafanya makosa kuliko mchezaji yeyote jana uwanjani, Onyango kakosa utulivu kama beki anayepaswa kujua mtindo wa adui na kujipunguzia au kujiongezea majukumu. Lakini pia ni hawa wawili wanaotakiwa kufuta makosa ya wachezaji wengine wote kwani wakiacha kosa liendelee timu inaadhibiwa.
Mfano wa ubovu wao;
Angalia upya goli la NNE.
Tuache unafik ndugu yangu kapombe hakua sawa ata kuna wengine wamekosea usikatae na yy kukosolewa kuna mipira kama mitatu kapombe ilimpita kwa kujisahau ,la msingi tuseme ukwel uwezo wa wachezaj wa simba umeishia pale hawana wachezaj wa kucheza nusu fainal ila ni majuto sana maana katika miaka ya iv karibun naona mwaka huu simba kama wangezid kujipanga wangefika mbal ila mazoea yamewaponza kuna hatua ktk mpra uitaj wachezaj wanaotegemea maelezo ya kocha tu nimekua niikifuatilia simba ina aina moja tu ya mpra pasi ni hatar sana ktk hatua kama ya kwenda nusu fainal ni hatua kubwa unaitaj wachezaj ambayo wanaweza kubadilka kulingana na mazingra ,yote kwa yote viongoz wajifunze na wajue mpra sio kukaa hotel za nyota 5 au kuaid bonus unaitaj kwanza wachezaj karbu kum ambao wapo imara kwa kila sehem mfano simba ata ktk lig ya ndan ni udhaifu tu wa wachezaj wa timu nyngine ila simba ina matatzo kila eneo ni hii yote kuoneana aibu na kuendelea kuwakumbatia kila mchezaj mm bado naona simba inaitaj kiungo ambae machachar zaid ya lwanga na aliekua shap pia bek wawa kapombe wanaitaj wasaidiz kuwazd wao ambao wanaweza kucheza mipira ya juu na chin upande wa mawinga sina tatzo nako ila pale mbele tukubal tu zama za boko na kagere zimeisha lazma wapate mtu kumzd mugalu ambae mwenyewe tu atakua na uwezo wa kutumia ata nafas chache ,na uwezo wa kuwasaidia wenzie na pia bado simba wanashindwa kusaidiana asa asa katika mipira ya kona na kros na fauro viungo na mabek linapokuja suhala la kukaba ni wavivu mwaka wa tatu huu tatzo ilo bado lipo ,bado najiulza simba washakubal timu yao nzur ad kushindwa kuongeza wachezaj wa maana walipopata nafas kufanya ivyo ,kama wana simba tukubal kwa mwaka huu tumeishia apa ni suhala la viongoz na makocha kujipanga kujua wap na wap pana shida wajue cha kuongeza
 
Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.

Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.

Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.

Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Wakat simba amemiliki mpira kwa 68% na kaizer 32..kumbe ndo kucheza chini ya kiwango?
 
Simba hawakucheza chini ya kiwango kabisa.

Watu wengi wanachukulia Simba kutokufunga ndo wamecheza chini ya kiwango angalia ni timu ipi iliposes mpira sana kama siyo simba?

Tuache unafiki

Simba walizidiwa mbinu na tatizo jingine simba walikaa muda mrefu bila mechi tofauti na wapinzani wenzao.

Na hata wanapokuja watu wanasema korona imeisaidia sana simba kufika hapo muelewa sana maana wakati ligi yetu ikiendelea mataifa mengi walikuwa hawachezi

Tatizo ni plan ya simba, simba wanastaili moja tu ya kucheza yaani viunngo wegi .

Wakijua hasa kuwa hatari wanayoweza kuipata ni kurehusu kapombe apande hivyo wakampangia jamaa mwenye nguvu, na kumfanya kapombe asipande, jamaa akagundua siyo kapombe tu Bali hata shabalala ndo akaamua kumwingiza mchezaji mwingine dkk ta 35 Tu akimpa jukumu la kumbana asipande .

Simba ikibanwa mafullbeki wake hawawezi tokea pembeni watataka kupitia Kati na jamaa walikuwa wameshawawin katikati kabisa .

Jamaa waliwaacha wacheze mpiara wao wakatumia counter attack kuwamaliza .

Walikuwa na nidham ya mchezo Sana walipokuwa hawana mpira walirudi wote au kuacha mtu mmoja mbele walikuwa wanapanua uwanja ili kueanyima Simba kukimbia na one touch zao za karibu karibu.

Simba wamecheza sana lkn walizidiwa mbinu na kaizer chiefs
Yes ofcoz u r very right..tactics mate tactics...ndizo ziliwamaliza simba. This is next level bwana. Huku ligi yetu twajua kucheza 4-4-2 tuu. Jana simba walikutana na changamoto ya kimbuni na walishindwa kulitatua.

Walikuwa na umiliki wa mpira lakini jinsi ya kupenya a 5-2-3 formation ilikuwa shinda. Jinsi ya kuivunja hii defence ni tofauti na vile unavyoivunja defence ya 4-4-2 particularly relating to positional play ya wachezaji. Sasa hapa ndio pep anapokuwaga mtamu...anajua kawaelekeza wachezaji wakae maeneo gani ya kimkakati ili kutransalate possession into penetration.

Gomez ali fall into the common fallacy Ambayo ni kwamba ukitaka goli wee ongeza tuu washambuliaji pasipo kujua kuwa hao washambiliaji wanatakiwa wa occupy speciffic strategic positions ambazo ndio zitasaidia katika kuvunja ngome ya mpizani. Klcha anatakiwa kujiuliza mchezo unataka nini na sio kwamba kwa kuwa mpizani anaongoza basi inabidi niongeze washambuliaji ili kupata goli. Sometimes tatizo linaweza kuwa kwenye idara nyingine tofauti na sio kwamba washambuliaje hawafanyi kazi yao vizuri.

Sasa kuna nadharia na kuna practice. Yes hivi vitu unafundishwa kwenye pro licence za uefa and all that lakini kilichowakumba simba ni kwamba kwa sababu ligi yetu hainaga so many variations za formations, wachezaji na bench la ufundi walikuwa hawajakutana na kitu kama hicho therefore kuanza kusolve hiyo tactical problem while game inaendelea nna wakati hujafanyia mazoezi ni almost impossible. Na nadhani pia chiefs wali spring out this suprise so simba hawakutegemea kukutana na a 5-2-3 formation.
 
Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.

Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.

Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.

Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Hebu nyoosha maelezo basi! Au ni hawa wadhamini wa Yanga (GSM) wamewahonga hao Kaizer Chiefs ili wawafunge?
 
Simba hawakucheza chini ya kiwango kabisa.

Watu wengi wanachukulia Simba kutokufunga ndo wamecheza chini ya kiwango angalia ni timu ipi iliposes mpira sana kama siyo simba?

Tuache unafiki

Simba walizidiwa mbinu na tatizo jingine simba walikaa muda mrefu bila mechi tofauti na wapinzani wenzao.

Na hata wanapokuja watu wanasema korona imeisaidia sana simba kufika hapo muelewa sana maana wakati ligi yetu ikiendelea mataifa mengi walikuwa hawachezi

Tatizo ni plan ya simba, simba wanastaili moja tu ya kucheza yaani viunngo wegi .

Wakijua hasa kuwa hatari wanayoweza kuipata ni kurehusu kapombe apande hivyo wakampangia jamaa mwenye nguvu, na kumfanya kapombe asipande, jamaa akagundua siyo kapombe tu Bali hata shabalala ndo akaamua kumwingiza mchezaji mwingine dkk ta 35 Tu akimpa jukumu la kumbana asipande .

Simba ikibanwa mafullbeki wake hawawezi tokea pembeni watataka kupitia Kati na jamaa walikuwa wameshawawin katikati kabisa .

Jamaa waliwaacha wacheze mpiara wao wakatumia counter attack kuwamaliza .

Walikuwa na nidham ya mchezo Sana walipokuwa hawana mpira walirudi wote au kuacha mtu mmoja mbele walikuwa wanapanua uwanja ili kueanyima Simba kukimbia na one touch zao za karibu karibu.

Simba wamecheza sana lkn walizidiwa mbinu na kaizer chiefs
Mechi fitness nayo iliimaliza Simba.. Kutokucheza kwa wiki 2 ilhali wao Kaizer kabla ya mchezo na Simba walishapiga gemu kama 3 Hivi.
 
Mnatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu na kwa vile mnawachukia watanzania wenzenu Shomari na Mood mmeamua kusemea mbovu ili waonekane wamechomesha. Sababu ziko wazi na ni mbili au tatu tu na katu haziwahusishi Kapombe na Zimbwe peke yao.
1.Kutoheshimu mpinzani.
Kwa hili Simba walifeli ndani ya dk 10 tu za awali wakicheza na timu kubwa Afrika utadhani wanacheza na Dodoma jiji.
2.Lack of second & third plans.
Angalia aina ya magoli waliyofungwa yanvyofanana, angalia jinsi walivyotumia mbinu zilezile kutaka kupenya ngome kwa style iliyofeli tangu mwanzo.
3.Beki mbovu ya kati.
Hapa ndo mnaposhindwa kusema ukweli. Simba wamekuwa na ugonjwa huu muda mrefu na mashabiki wake mnajaribu kuufunika sijui kwa faida ya Nani? Wawa kafanya makosa kuliko mchezaji yeyote jana uwanjani, Onyango kakosa utulivu kama beki anayepaswa kujua mtindo wa adui na kujipunguzia au kujiongezea majukumu. Lakini pia ni hawa wawili wanaotakiwa kufuta makosa ya wachezaji wengine wote kwani wakiacha kosa liendelee timu inaadhibiwa.
Mfano wa ubovu wao;
Angalia upya goli la NNE.
Ni kweli simba ina tatizo kubwa na Gomezi anaelekeza wachezaji lakini hawafuati maelekezo.
Wanategeana kwenye ulinzi
Hawaruki mipira ya juu hata Wawa hakupaswa ongezewa mkataba
Balala na Kapombe wanahitaji kupata mbadala ambao ni wazuri zaidi ili wakiwa nje ya mchezo ufanye Sub! Mfano jana unamtoa kapombe unamweka nani?
 
Wale Kaizer Jana walicheza mbinu ya Morinho ya counter attack , hata mtangazaji alikuwa anashangaa kwa kufungwa magoli 4 anasema hii timu ndio ilokuwa ikiongoza group lao mbona iko hivi yaani wamekuwa wepesi sana ,mpira ni magoli sio kumiliki mpira ndio kushinda pasi fupi fupi za simba hazikufua dafu hawakuwa na mbinu hata kidogo hawakupiga mashuti kabisa .Kuna siri moja leo mimi natoka kuitoa aliwahi kunipa kocha mmoja zamani ukitaka timu yako ishinde basi wachezaji wako wawe na mbio sana sana ili kuwachosha wale wapinzani wako na alikuwa akiwapigisha mbio wachezaji wake kwa lisaa zima ,naam timu yyote alokuwa aki cheza nayo akiufunga .
 
Simba wamecheza? wamecheza nini, zile pass za kupigiana nyuma mbele nyuma mbele ndio kucheza? wapi umeona hata kum test kipa wa Kaizer au kuwazunguka beki za Kaizer. Nachukia sana kuona team inafungwa 4 halafu anakuja mtu anasema lakini tume poses mpira ni malengo na mpira ni magoal sio kumiliki mpira halafu umiliki wenyewe hauna maana yoyote mipira yote waliyotaka kupiga kwenye 18 wale Kaizer wali deal nayo yote. Kaizer ni warefu na wakatumia silaha ya urefu wao na uhakika Simba hawakufanya homework kuhusu hawa jamaa nguvu zao ziko wapi. Simba jana wamecheza mpira mbovu kabisa na kiwango cha jana ndio kile cha zamani cha tano tano.
Povu la nn mkulu mnajisema sana ni watu wa ku ku ku ku si ndo hiyo walizidiwa maarifa ya kupenya ngome ya kaizer chiefs otherwise mpira walicheza
 
Kapombe kafungisha goli kama lile lile alilofungisha ktk mechi ya Dodoma Jiji. Haruki juu hata kidogo.
Wakifunga mnamihemuko kweli mnashangilia mpaka basi kwa nini msikubali Tu kuwa walizidiwa

Mpira ni makosa

Makosa ukiyafanya unaadhibiwa
 
Mimi dakika 5 tu zilipoanza nikaona pasi za nyuma na za pembeni zimekuwa nyingi kwa timu ya simba,halafu wale jamaa wakipata mpira kama kuna kitu wanataka kufanya.nikamwambia jamaa yangu hapa simba anapigwa 5 leo.hatujakaa hata dakika mbili wakapigwa la kwanza,

Nilichokiona kama simba hawakuwa na game plan hivi.. ukizingatia wasauzi wana rekodi ya kufunga magoli mengi kutoka hatua ya makundi.
Nikaingia sportpesa live game nikatia 20000,home over 2.5

Na kwakuwa ni shabiki wa yanga ..mambo yalikuwa murua kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nimewaelewa walipokua wakishangilia walipo pata uhakika wamepangwa na Simba.
 
Kukaa bila kucheza mechi ndio tatizo kubwa kama umewai kucheza soka utaelewa ilo.na walituzidi mbinu za uharaka kufika kwenye nox letu

Gomez kila muda alikuwa anapiga kelele kuwa twende kwenye box lao ila wapi, tujipange mechi ijayo
Hizo ndo figisu zao walijificha kwenye kapu la tff ili wasicheze wasije wasaoz wakawajulia mbinu zao ona sasaaaaa
 
Back
Top Bottom