kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita, mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba.
Ninachokiona ni mpango mkakati kupitia wizara ya habari na michezo ambapo tunajua hao watu ni wapenzi wa utopolo. Walipanga kusogeza mbele masaa ili hao uto wapate sababu ya kugomea mechi. Walijua mapema kuhusu tukio la leo la uzinduzi wa kitabu. Wangeweza kupanga mapema na ikawezekana. Ila kwa maksudi huku wakijua wanaitafutia timu yao sababu ya kukimbia mechi waliamua kukubali tukio lifanyike muda wa mechi.
Hata hivyo matukio yote yangeweza kufanyika kwa muda mmoja. Ila hii naiona kama hujuma kwa Simba.