Simba wamehujumiwa wazi kabisa

Simba wamehujumiwa wazi kabisa

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita, mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba.

Ninachokiona ni mpango mkakati kupitia wizara ya habari na michezo ambapo tunajua hao watu ni wapenzi wa utopolo. Walipanga kusogeza mbele masaa ili hao uto wapate sababu ya kugomea mechi. Walijua mapema kuhusu tukio la leo la uzinduzi wa kitabu. Wangeweza kupanga mapema na ikawezekana. Ila kwa maksudi huku wakijua wanaitafutia timu yao sababu ya kukimbia mechi waliamua kukubali tukio lifanyike muda wa mechi.

Hata hivyo matukio yote yangeweza kufanyika kwa muda mmoja. Ila hii naiona kama hujuma kwa Simba.
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
 
Hii ni kweli, yule tahira Bashungwa ni utopolo wa kutupwa. Inawezekana alifanya hivyo makusudi ili utopolo wapate kisingizio cha kuepuka kipigo cha paka mdokozi.

Hawana timu ya kushindana halafu wanadanganya mashabiki wao wapumbavu.

Hata wakija na mbinu gani kipigo kipo palepale na back to back 10 zipo pale pale.
 
Kesho hana kazi, yule ni shabiki wa Wamatopeni.
 
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita,mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM,aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united,ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba.

Ninachokiona ni mpango mkakati kupitia wizara ya habari na michezo ambapo tunajua hao watu ni wapenzi wa utopolo.Walipanga kusogeza mbele masaa ili hao uto wapate sababu ya kugomea mechi.Walijua mapema kuhusu tukio la leo la uzinduzi wa kitabu.Wangeweza kupanga mapema na ikawezekana.Ila kwa maksudi huku wakijua wanaitafutia timu yao sababu ya kukimbia mechi,waliamua kukubali tukio lifanyike muda wa mechi.Hata hivyo matukio yote yangeweza kufanyika kwa muda mmoja.Ila hii naiona kama hujuma kwa Simba.
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Mwizi kaiba mara ya kwanza-hajakamatwa

Kaiba mara ya pili-hajakamatwa

Mara tatu kaiba kakamatwa eti asishtakiwe kisa kaiba mara mbili na hajakamatwa. Sheria za wapi unazitumia we kijana wa mkia.
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Sheria inasemaje kwani??
Yani mnatumia makosa yaliyopita kutoa hukumu. Yani mnaweka mbona mbona nyiiingi em tuamue hili suala kisheria.
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Haramu haihararishi haramu mkuu
 
Mwizi kaiba mara ya kwanza-hajakamatwa
Kaiba mara ya pili-hajakamatwa

Mara tatu kaiba kakamatwa eti asishtakiwe kisa kaiba mala mbili na hajakamatwa. Sheria za wapi unazitumia we kijana wa mkia.
Yaani mkuu kuna watu wanahalalisha ujinga kwa ujinga
 
Mikia haina akili kabisa

YANGA IMARA ilichokifanya ni kufuata sheria inavyotaka, mengine yoote ni ushuzi TU.

TFF na Mikia mmezoea upuuzi wa kibongobongo wa kutoheshimu Sheria.

Juzi tu hapa kulikuwa na Msiba kuelekea mpaka Mazishi ya Prince Philip wa uingereza lakini Mechi za Premier League zilikuwa zinaendelea kama kawaida kufuatana na ratiba.

Prince Philip ni Mtu mdogo?
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Simba waliokubali kwenda saa moja ndio wajinga, Yanga ni werevu
 
Mwizi kaiba mara ya kwanza-hajakamatwa
Kaiba mara ya pili-hajakamatwa

Mara tatu kaiba kakamatwa eti asishtakiwe kisa kaiba mala mbili na hajakamatwa. Sheria za wapi unazitumia we kijana wa mkia.
Mifano yako haifanani na uhalisia
 
Back
Top Bottom