permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Acha kurukaruka, Yanga apewe points zake kwa Simba kutoonekana uwanjani.Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita,mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM,aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united,ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba...
Wajinga wamebaki uwanjani hadi saa moja shukrani pekee ambayo mmepata ni kutandikwa virungu na FFUUnateseka ukiwa wapi
Mliotandikwa virungu uwanjani ndio werevuUtopolo hawawezi kuwa werevu hata siku moja
Utopolo katika ubora wako Eymael alishasema nyie ni uneducated, manyani mnabweka kama mbwaMliotandikwa virungu uwanjani ndio werevu
Kama Yanga wamevunja kanuni wafungieni basi kama TFF ina jeuri hiyo.Simba wanaburuzwa tu kama wajinga
Yes ni Mtu mdogo na alishaanza kutoa harufuMikia haina akili kabisa
YANGA IMARA ilichokifanya ni kufuata sheria inavyotaka, mengine yoote ni ushuzi TU...
Sijui ni kweli oSheria inasemaje kwani??
Yani mnatumia makosa yaliyopita kutoa hukumu. Yani mnaweka mbona mbona nyiiingi em tuamue hili suala kisheria.
Hujaelewa tu ndgu. Ukiitafari taratibu utaelewaMifano yako haifanani na uhalisia
Toeni na sababu.Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Kipigo wanakiepukaje?Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita,mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM,aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united,ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba...
Mechi bdo ipo. Kipigo kipo pale pale. Tena muda huo mnyama bingwa tayari. Labda wakimbie ligiHii ni kweli, yule tahira Bashungwa ni utopolo wa kutupwa. Inawezekana alifanya hivyo makusudi ili utopolo wapate kisingizio cha kuepuka kipigo cha paka mdokozi.
Hawana timu ya kushindana halafu wanadanganya mashabiki wao wapumbavu.
Hata wakija na mbinu gani kipigo kipo palepale na back to back 10 zipo pale pale.
Utopolo hawawezi kuwa werevu hata siku moja
Hivi ya Rage na yule kocha aliyewaita NYANI nan zaidAliyoyasema Rage ndiyo mmoja wapo huyu
Maturity ni kutokufuata sheria? Kulikuwa na sababu gani kuhairisha mechi ndani ya masaa 2?Kati ya saa moja na kumi na moja nini tofauti. Mbona haya mambo hutokea Hata kwenye safari za anga na majini. Ndege inatakiwa kuondoka saa moja mnaambiwa itaondoka saa sita , ni kawaida sana...
Kwanini ziwe ni za Yanga tu!? Wewe hushangai hapo!?Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Ina maana akili zako hazijiulizi kwa nini mechi za yanga tu ndo zinasogezwa mbele? Mikia na TFF tumewashitukiaMechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Mmekimbia kipigo mnaingiaje uwanjani refa hayupoIna maana akili zako hazijiulizi kwa nini mechi za yanga tu ndo zinasogezwa mbele? Mikia na tff tumewashitukia
Nyie si mlitaka kujitoa au ndio mnaanza kujitoaKwanini ziwe ni za Yanga tu!? Wewe hushangai hapo!?
Hivi huu ugoro umeutoa wapi? No evidence no right to speak. Hebu fuatilia vizuri muda wa kuahirisha hizo mechi mbili ulizotaja ndiyo utajua ukweli¯¯Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe