Simba wamehujumiwa wazi kabisa

Simba wamehujumiwa wazi kabisa

Sheria inasemaje kwani??
Yani mnatumia makosa yaliyopita kutoa hukumu. Yani mnaweka mbona mbona nyiiingi em tuamue hili suala kisheria.
Sijui ni kweli o
IMG-20210508-WA0020.jpg
 
Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Toeni na sababu.
 
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita,mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM,aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united,ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba...
Kipigo wanakiepukaje?
 
Hii ni kweli, yule tahira Bashungwa ni utopolo wa kutupwa. Inawezekana alifanya hivyo makusudi ili utopolo wapate kisingizio cha kuepuka kipigo cha paka mdokozi.

Hawana timu ya kushindana halafu wanadanganya mashabiki wao wapumbavu.

Hata wakija na mbinu gani kipigo kipo palepale na back to back 10 zipo pale pale.
Mechi bdo ipo. Kipigo kipo pale pale. Tena muda huo mnyama bingwa tayari. Labda wakimbie ligi
 
Utopolo hawawezi kuwa werevu hata siku moja

Kati ya saa moja na kumi na moja nini tofauti. Mbona haya mambo hutokea Hata kwenye safari za anga na majini. Ndege inatakiwa kuondoka saa moja mnaambiwa itaondoka saa sita , ni kawaida sana

Shida Yanga inatumia Yellow Color ambayo ni Rangi ya Mabalaa na nuksi

Shida nyingine Yanga Management tayari inajiona less na inferiority complex hivyo kila kitu ni kudefend even if they are not attacked. Wanahisi wanaonewa hata km hakuna mazingira ya kuonewa.

Why Simba hajagoma ? It’s called Maturity and Confidence. Simba inaviongozi makini who went school.

Viongozi wa Yanga ni fault finders na Childish. Mpira wa sasa ni investment na sio blah blah km mke wenza.

Imagine Yanga imewatoa mashabiki mkoani waliokodi daladala kwa gharama zao na kuja hadi Dar then out of the blue wanagoma eti kisa kuna masaa 2 yamezidishwa:

Yaani kimeharibika nini hasa hadi wagome...... They are Stupid and Ignorant.

They will remain stagnant forever.

Facki-Off, Facki them
 
Kati ya saa moja na kumi na moja nini tofauti. Mbona haya mambo hutokea Hata kwenye safari za anga na majini. Ndege inatakiwa kuondoka saa moja mnaambiwa itaondoka saa sita , ni kawaida sana...
Maturity ni kutokufuata sheria? Kulikuwa na sababu gani kuhairisha mechi ndani ya masaa 2?
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Kwanini ziwe ni za Yanga tu!? Wewe hushangai hapo!?
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Ina maana akili zako hazijiulizi kwa nini mechi za yanga tu ndo zinasogezwa mbele? Mikia na TFF tumewashitukia
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana yanga hawakugoma, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana na yanga hawakucheza ina maana kanuni yanga wanazijua siku wakicheza na Simba hii ni hujuma nitawaona Simba wajinga wakikubali hii mechi irudiwe
Hivi huu ugoro umeutoa wapi? No evidence no right to speak. Hebu fuatilia vizuri muda wa kuahirisha hizo mechi mbili ulizotaja ndiyo utajua ukweli¯¯
 
Back
Top Bottom