Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

dah kakaa tumia akili kuchambua hii picha huyu pablo inaonekana kabisa aliomba kupiga picha make mwenzake yuko ndani ya obstacle

Pia angalia hata mavazi utagundua kituu
Comment yako moja ulisema hakuwah kukatiza mitaa ya madrid nimekuletea picha una kata mauno
 
vp kuhusu gitafe
 
Baada ya yote ayo kama ata perform fresh mimi nadhani itakuwa safi tu
 
Gitafe alikuwa Coach yes na Msimu wa Pablo ilitaka kushuka daraja, sbb ilikuwa nafasi ya 15 katika La Liga at end of the season..

Simba wameliwa
kama alikuwa kocha wa Gitafe ligi kuu ya hispania simba wameokoa dhahabu jangwani,sidhani kama afrika mashariki na kati kuna timu yenye kocha wa hadhi ya juu kama huyo
 
Assistant Coach eti July to Nov, miezi 3, hivi mna akili kweli, huyu aliekwa tu kusaidia sadia Real Madrid ili kujenga CV, ila sio alikuwa Full Assistant Coach wa R. Madrid, tatizo Simba vichwa vyao vibuyu kama Mwijaku,.. Imagine timu msemaji wake Mwijaku, mashabiki si ndio mazezeta yote
 
kama alikuwa kocha wa Gitafe ligi kuu ya hispania simba wameokoa dhahabu jangwani,sidhani kama afrika mashariki na kati kuna timu yenye kocha wa hadhi ya juu kama huyo
timu zote alizowahi kupita hajawah kushinda game 20+ kwenye msimu mmoja
 
kama alikuwa kocha wa Gitafe ligi kuu ya hispania simba wameokoa dhahabu jangwani,sidhani kama afrika mashariki na kati kuna timu yenye kocha wa hadhi ya juu kama huyo
Ila record yake ina mashaka sanaaa, hajawahi kukaa kwenye timu yoyote ile zaidi ya msimu mmoja, tena Getafe akashushwa na kupewa Getafe B, baada ya matokeo mabaya sanaaaa.. Yaani akipewa timu inavuruga, akipewa timu matokeo mabaya sana inakuwa, hana record yoyote nzuri kote kule, hana, fuatilia, tatizo Simba akili hakuna, kaona katoka Spain wamepanic wakajua wamepata Kocha kweli kweli, kumbe hakuna kitu, mtaona maneno yangu, subirini msimu si ndio huu
 
timu zote alizowahi kupita hajawah kushinda game 20+ kwenye msimu mmoja
mpaka kufundisha gitafe ligi kuu huyo ni kocha mkubwa sana,wazungu sio wajinga mpaka wamchukue kocha afundishe timu kubwa kama hiyo lazima walitazama vigezo hawakumuokota tu,hjawahi kushinda game 20 maana alikua anakutana na wakina barca ,madrid nk huku bongo atawaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…