Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Kwani kigezo ilikuwa kuwahi kufundisha real Madrid?
 
Pablo mwenyewe kasema alishawahi kufundisha real Madrid?
 
Kwa Simba ipi? Hii ya akina Mwijaku au? Plz Simba kuweni serious plz.. Mo mwenyewe kasusa kiutu uzima.
Acha mipasho na mihemuko, Simba imecheza mechi 4, imeshinda 2 na kudroo 2. Ni timu pekee ligi kuu ambayo haijafungwa goli hata moja kweny NBC PL. Ipo nafas ya 2. Hayo masuala mengine uliyoyasema siwez kuyajibia naona na umbeya tu na majungu. Na naona tayari ushahamisha goli.
 
Km unaweza hebu kuwa mwanamichezo, tangu ligi ya bongo imeanza imewahi kupata kocha mwenye CV kubwa km Pablo? Km yupo, ni yupi?
ana vikombe vingap???

HATA MEDALI TUU YA USHAHIDI LETA make cv inajengwa pia na mafanikio yake. Kumbuka hamna msimu ameshinda mechi 20+
 
Hawa kima wa Utopolo hoja zao za kimalaya malaya tu. Aibu kubwa sana hawa wapuuzi

Yaani hata rekodi za huyo kocha Pablo ni duni sana, takwimu zake ni dhaifu na kuzitetea ni vigumu.

Ni vigumu sana na ni kama haiwezekani kwa kocha yeyote kushindwa kuipa mafanikio timu yoyote duniani kisha apewe nafasi hata ya kuwa kocha msaidizi wa klabu bora zaidi ya soka duniani kama Real Madrid, HAIWEZEKANI!

Vv
 
Pablo Franco Martín (born 11 June 1980) is a Spanish professional football manager, currently serving as the Head Coach for Simba SC(Tanzania), which he joined on 6th November 2021.

Manager careerEdit

Born in Madrid, Franco was an assistant manager at Coria CF and CF Fuenlabrada, and started his managerial career at CD Santa Eugenia in 2012.[1] On 27 January 2012 he returned to Fuenlabrada, now as a fitness coach.[2]

On 5 July 2012 Franco was named CD Illescas manager, with his side in Tercera División.[3] On 11 June of the following year he was appointed at the helm of fellow league team CD Puertollano;[4] in his first and only campaign he led the club to a first position in their group, but the Castile-La Mancha side renounced promotion due to financial problems.

On 28 July 2014 Franco was appointed Getafe CF B manager.[5] On 26 February of the following year, after the resignation of Quique Flores, he was named interim manager of the main squad,[6] and appeared in his professional match two days later, a 2–3 away loss against Málaga CF.[7]

On 3 March 2015 Franco's spell in the main squad was further extended, with Javier Casquero as his assistant.[8] Eight days later, after a 2–1 away win against Córdoba CF, the duo was officially granted until the end of the season.[9]

On 1 June 2015, after avoiding relegation with the main squad, he was relieved from his duties.[10] On 10 March of the following year he was appointed manager of Georgian club FC Saburtalo Tbilisi, joining compatriot Manolo Hierro.[11]
 
Mkuu acha matusi,wewe ni great thinker,njoo na ushahidi umprove wrong huyu jamaa. Wala hata hamna haja ya kutumia nguvu kubwa.
Karibu.
mtandao wa transfer market ulichezewa na wakenya. Kwahiyo taarifa za kule ni uongo. Au hujasoma ukaelewa.

Kwamaana hiyo transifer market mtandao unaotumika dunia nzima kupata taarifa za kimichezo Ni mtandao wa uongo. KWA mujibu wa mleta mada.
 
Huyu hapa aliyekuwa kocha msaidizi Real Madrid, Hautaki?

View attachment 2007089
Pablo Franco Martín (born 11 June 1980) is a Spanish professional football manager, currently serving as the Head Coach for Simba SC(Tanzania), which he joined on 6th November 2021.

Manager careerEdit

Born in Madrid, Franco was an assistant manager at Coria CF and CF Fuenlabrada, and started his managerial career at CD Santa Eugenia in 2012.[1] On 27 January 2012 he returned to Fuenlabrada, now as a fitness coach.[2]

On 5 July 2012 Franco was named CD Illescas manager, with his side in Tercera División.[3] On 11 June of the following year he was appointed at the helm of fellow league team CD Puertollano;[4] in his first and only campaign he led the club to a first position in their group, but the Castile-La Mancha side renounced promotion due to financial problems.

On 28 July 2014 Franco was appointed Getafe CF B manager.[5] On 26 February of the following year, after the resignation of Quique Flores, he was named interim manager of the main squad,[6] and appeared in his professional match two days later, a 2–3 away loss against Málaga CF.[7]

On 3 March 2015 Franco's spell in the main squad was further extended, with Javier Casquero as his assistant.[8] Eight days later, after a 2–1 away win against Córdoba CF, the duo was officially granted until the end of the season.[9]

On 1 June 2015, after avoiding relegation with the main squad, he was relieved from his duties.[10] On 10 March of the following year he was appointed manager of Georgian club FC Saburtalo Tbilisi, joining compatriot Manolo Hierro.[11]
 
Wewe ni box aisee.. nenda transfer market usearch jina lake maana una macho lakini huoni na una masikio lakini husikii na una kichwa lakini hakina maarifa. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Umeambiwa transfer market ni sawa na Wikipedia [emoji23]
 
Km unaweza hebu kuwa mwanamichezo, tangu ligi ya bongo imeanza imewahi kupata kocha mwenye CV kubwa km Pablo? Km yupo, ni yupi?
ina maana hujui kwenye ligi yetu kuna kocha kashanyakua CAF Confederation Cup? au CV kubwa unayoitaka wewe ni ipi?
 
Yaani Simba wameingizwa choo cha kike na wakenya 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…