Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Mkuu hongera sana kwa kufanya homework yako vizuri. Mimi ni shabiki wa Simba lakini nili doubt hizi taarifa za kocha wetu mpya kua amewahi kupitia klabu ya Real Madrid kama Kocha msaidizi

Kilichonishtua ni kiwango cha mshahara alichokubaliana na wakuu wa Simba kwamba ndi wastan wa US$20,000.0 kwa mwezi na bonus ya US$ 10,000.0 timu ikifanikiwa kuvuka hatua ya makundi kwenye CAF Confederation Cup!

Kwa kaliba ya kocha ambaye amewahi kuwa msaidizi pale Real hicho ni kiwango cha kushangaza sana kukikubali kwani ninauhakika angeweza kupata hata timu ya daraja la chini kwa ulaya na akapata mshahara mzuri zaidi ya huu anaokuja kuukubali Afrika

Bahati mbaya sana huu umekua ni utaratibu wa miaka nenda rudi ya viongozi wa klabu yetu kufanya propaganda kuhusu wachezaji wanaokuja kujiunga na Simba hasa wale wa kigeni ili mashabiki na wanachama waone kama wamefanya kazi kubwa kuwaleta klabuni wakiwa ni wachezaji wa viwango. Kumbe nyuma ya pazia kuna pesa imepigwa na mwisho wa siku performance ya uwanjani inakuja kuwaumbua!!! Wakati huo kila mtu anakua ameshashau zile kelele za uzuri wa wachezaji, na msimu unaofuata yanarudiwa yaleyale!
Kwani kigezo ilikuwa kuwahi kufundisha real Madrid?
 
Pablo hajawahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid, hata kidogo.. Alikuwa pale kujenga CV yake tu, anaenda uwanjani, anawafuata makocha wa R. Madrid pembeni, ila hajawahi kuwa Assistant Coach wa Real Madrid..

Simba wameliwa bure kavu kavu, Simba mna laana mwaka huu.
Pablo mwenyewe kasema alishawahi kufundisha real Madrid?
 
Wakuu mbona hata hiyo getafe sioni Kama alishawahi kuwa coach
Screenshot_20211111-153203.jpg
 
Sasa tunadanganywa na transfer market. Hivi umeishia la nne b au maana vitu vipp wazi. Hizo details zipo transfer market sio huu ugoro mnao sumbua nao hapa jf kuhusu huyu kocha wawatu. Haya tuseme hakuwa madrid alikua getafe napo lete ubishi. 🚮🚮🚮

FB_IMG_1636606270714.jpg

FB_IMG_1636604406810.jpg
 
Kwa Simba ipi? Hii ya akina Mwijaku au? Plz Simba kuweni serious plz.. Mo mwenyewe kasusa kiutu uzima.
Acha mipasho na mihemuko, Simba imecheza mechi 4, imeshinda 2 na kudroo 2. Ni timu pekee ligi kuu ambayo haijafungwa goli hata moja kweny NBC PL. Ipo nafas ya 2. Hayo masuala mengine uliyoyasema siwez kuyajibia naona na umbeya tu na majungu. Na naona tayari ushahamisha goli.
 
Km unaweza hebu kuwa mwanamichezo, tangu ligi ya bongo imeanza imewahi kupata kocha mwenye CV kubwa km Pablo? Km yupo, ni yupi?
ana vikombe vingap???

HATA MEDALI TUU YA USHAHIDI LETA make cv inajengwa pia na mafanikio yake. Kumbuka hamna msimu ameshinda mechi 20+
 
Acha mipasho na mihemuko, Simba imecheza mechi 4, imeshinda 2 na kudroo 2. Ni timu pekee ligi kuu ambayo haijafungwa goli hata moja kweny NBC PL. Ipo nafas ya 2. Hayo masuala mengine uliyoyasema siwez kuyajibia naona na umbeya tu na majungu. Na naona tayari ushahamisha goli.
Hawa kima wa Utopolo hoja zao za kimalaya malaya tu. Aibu kubwa sana hawa wapuuzi

FB_IMG_1627346909090.jpg
 
Yaani hata rekodi za huyo kocha Pablo ni duni sana, takwimu zake ni dhaifu na kuzitetea ni vigumu.

Ni vigumu sana na ni kama haiwezekani kwa kocha yeyote kushindwa kuipa mafanikio timu yoyote duniani kisha apewe nafasi hata ya kuwa kocha msaidizi wa klabu bora zaidi ya soka duniani kama Real Madrid, HAIWEZEKANI!

Vv
 
Pablo Franco Martín (born 11 June 1980) is a Spanish professional football manager, currently serving as the Head Coach for Simba SC(Tanzania), which he joined on 6th November 2021.

Manager careerEdit

Born in Madrid, Franco was an assistant manager at Coria CF and CF Fuenlabrada, and started his managerial career at CD Santa Eugenia in 2012.[1] On 27 January 2012 he returned to Fuenlabrada, now as a fitness coach.[2]

On 5 July 2012 Franco was named CD Illescas manager, with his side in Tercera División.[3] On 11 June of the following year he was appointed at the helm of fellow league team CD Puertollano;[4] in his first and only campaign he led the club to a first position in their group, but the Castile-La Mancha side renounced promotion due to financial problems.

On 28 July 2014 Franco was appointed Getafe CF B manager.[5] On 26 February of the following year, after the resignation of Quique Flores, he was named interim manager of the main squad,[6] and appeared in his professional match two days later, a 2–3 away loss against Málaga CF.[7]

On 3 March 2015 Franco's spell in the main squad was further extended, with Javier Casquero as his assistant.[8] Eight days later, after a 2–1 away win against Córdoba CF, the duo was officially granted until the end of the season.[9]

On 1 June 2015, after avoiding relegation with the main squad, he was relieved from his duties.[10] On 10 March of the following year he was appointed manager of Georgian club FC Saburtalo Tbilisi, joining compatriot Manolo Hierro.[11]
 
Mkuu acha matusi,wewe ni great thinker,njoo na ushahidi umprove wrong huyu jamaa. Wala hata hamna haja ya kutumia nguvu kubwa.
Karibu.
mtandao wa transfer market ulichezewa na wakenya. Kwahiyo taarifa za kule ni uongo. Au hujasoma ukaelewa.

Kwamaana hiyo transifer market mtandao unaotumika dunia nzima kupata taarifa za kimichezo Ni mtandao wa uongo. KWA mujibu wa mleta mada.
 
Huyu hapa aliyekuwa kocha msaidizi Real Madrid, Hautaki?

View attachment 2007089
Pablo Franco Martín (born 11 June 1980) is a Spanish professional football manager, currently serving as the Head Coach for Simba SC(Tanzania), which he joined on 6th November 2021.

Manager careerEdit

Born in Madrid, Franco was an assistant manager at Coria CF and CF Fuenlabrada, and started his managerial career at CD Santa Eugenia in 2012.[1] On 27 January 2012 he returned to Fuenlabrada, now as a fitness coach.[2]

On 5 July 2012 Franco was named CD Illescas manager, with his side in Tercera División.[3] On 11 June of the following year he was appointed at the helm of fellow league team CD Puertollano;[4] in his first and only campaign he led the club to a first position in their group, but the Castile-La Mancha side renounced promotion due to financial problems.

On 28 July 2014 Franco was appointed Getafe CF B manager.[5] On 26 February of the following year, after the resignation of Quique Flores, he was named interim manager of the main squad,[6] and appeared in his professional match two days later, a 2–3 away loss against Málaga CF.[7]

On 3 March 2015 Franco's spell in the main squad was further extended, with Javier Casquero as his assistant.[8] Eight days later, after a 2–1 away win against Córdoba CF, the duo was officially granted until the end of the season.[9]

On 1 June 2015, after avoiding relegation with the main squad, he was relieved from his duties.[10] On 10 March of the following year he was appointed manager of Georgian club FC Saburtalo Tbilisi, joining compatriot Manolo Hierro.[11]
 
Wewe ni box aisee.. nenda transfer market usearch jina lake maana una macho lakini huoni na una masikio lakini husikii na una kichwa lakini hakina maarifa. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Umeambiwa transfer market ni sawa na Wikipedia [emoji23]
 
Km unaweza hebu kuwa mwanamichezo, tangu ligi ya bongo imeanza imewahi kupata kocha mwenye CV kubwa km Pablo? Km yupo, ni yupi?
ina maana hujui kwenye ligi yetu kuna kocha kashanyakua CAF Confederation Cup? au CV kubwa unayoitaka wewe ni ipi?
 
Back
Top Bottom