Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Uchambuzi murua huu.....hakika waTZ tunadanganywa na hao wnaojiita wachambuzi wa soka
 
kama wakenya wametuchezea hivi! naona aibu kuwa mtanzania
Hamna cha wakenya kutuchezea wala nini......wabongo ni wajuaji sana....
Jama alikuwa madrid kama performance Analyst.

20211112_172901.jpg
 
Mkuu usiumize sana Kichwa, mwanzo tulijua kuwa Darosa hana Vyeti?
Ngoja Mnyama achezee chezee mfululuzio tutajua tu alikotokea.

Wachambuzi wa Bongo utakufa mdomo wazi aisee..angalia Sources zenye nguvu sio hawa wetu hapo

Ukitaka kujua kipigo cha jana kile cha Kongo ndio utajua akili zao zilivyo finyu.
Ukiwa Smart huumizi kichwa hapa Tz.

Ndivyo tulivyo na tutaendelea kuwa hivyo.
 
Nimekuuliza kwahiyo Mo dewji ni muongo? Maana kasema alikuwa kocha msaidizi wa Real MadridView attachment 2008111
Unachotaka ni nini?
Mtu wa kupoteza nae mda kubishana Bila sababu za msingi?
Cv yake inasema kafanya kazi madrid kama performance analyst na Assistant coach....mainly anaitaja Analyst.
Mkabisha.....
Nimewaletea picha alivyokuwa madrid.....bado unabisha, Nikuulize unabishana nini?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hojq iliyopo ni kweli alikuwa ni Assistant coach wa real Madrid au lah. Hivyo wewe umethibitisha kuwa hakuwa assistant coach bali ni performance analyst. Hivyo inamaana mo dewji na wengine waliodai alikuwa kocha msaidizi wa real Madrid ni waongo
 
Umesoma andiko hilo? Nililoreply?
Rudi juu kalisome afu jichagulie jina la kujipa.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
No analyst and Assistant coach.....
Watu wamezingatia hiyo Assistant pekee.
Ukiangalia hiyo ni Post yake ya 2020, ko tuseme alianza kuuandaa uongo tangu 2020......? Kutoka hapa hiyo hoja ya wakenya hivi wakenya vile imekufaa.

View attachment 2008106

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Lakini Transfer market na Wikipedia wanadai kua alikua Assistant manager
 
Back
Top Bottom