Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Hatuna upacha na vitu vibovu Wala hatuijui timu yenu ya wazee kina Babu Onyango badala ya kuzuia mpira yeye akili za Kenya anazuia mchezaji, Peeeenaaaaaatttttttt!!Sawa mkuu ngoja tuone badae itakavyokua maana hawa jamaa nimapacha
Goli la nne Simba wanapasuka ndugu msikilizaji! Raja wametakata kama ilivyotarajiwa! Raja watu WABAD sana ndugu msikilizaji wanafumua mishono bila huruma Wala ganzi!!
Timu Bora top ten Africa inashika mkia kwenye kundi lake ila kocha Bado kufukuzwa!! Wachezaji wazee Simba hawataki kocha mzungu ndugu msikilizaji, hawaelewi kingereza !! Simba amekuwa Paka ndugu msikilizaji!! Senzo katimkia UTo, Manara katimkia UTo ndugu msikilizaji! BarAbara nae katimka hatujui wapi, Diamond Platnumz katimkia UTo ndugu msikilizaji Simba inaisha na vingunge wake nao wanaisha kabaki mbishi mmoja tu Mo!