Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

Simba wamekuwa wapole, na adabu juu!

Sawa mkuu ngoja tuone badae itakavyokua maana hawa jamaa nimapacha
Hatuna upacha na vitu vibovu Wala hatuijui timu yenu ya wazee kina Babu Onyango badala ya kuzuia mpira yeye akili za Kenya anazuia mchezaji, Peeeenaaaaaatttttttt!!
Goli la nne Simba wanapasuka ndugu msikilizaji! Raja wametakata kama ilivyotarajiwa! Raja watu WABAD sana ndugu msikilizaji wanafumua mishono bila huruma Wala ganzi!!

Timu Bora top ten Africa inashika mkia kwenye kundi lake ila kocha Bado kufukuzwa!! Wachezaji wazee Simba hawataki kocha mzungu ndugu msikilizaji, hawaelewi kingereza !! Simba amekuwa Paka ndugu msikilizaji!! Senzo katimkia UTo, Manara katimkia UTo ndugu msikilizaji! BarAbara nae katimka hatujui wapi, Diamond Platnumz katimkia UTo ndugu msikilizaji Simba inaisha na vingunge wake nao wanaisha kabaki mbishi mmoja tu Mo!
 
Bado Simba ana nafasi ya kwenda robo fainali, waliobaki tunawamudu tushindwe wenyewe.
Mkuu ambae hujacheza nae ni viper tu au hao raja unamaanisha utaenda kuwafunga kwao????[emoji23][emoji23]
 
Ww unahitaji daktari wa kumbukumbu
Leo ukikaa karibu na kina Kalpana ukitania tu kuwa Babu Onyango Kawa shati tu inabidi uanze maandalizi ya kukimbia maana ukiwa karibu unaweza kupokea KONDE zito au UPPER cut bila taarifa!
 
SIMBA HAWAJAWAHI KUWA NA ADABU, NAKWAMBIA MTIHANI WALIO NAO YANGA MSIMU HUU HIZI MECHI , ZINAFUATANA SASA SIMBA AKIPGWA ANASUBIRI YANGA ACHEZE, HAPO NDIPO LIWAZO LAKE LINAPOTOKEA.
 
Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!

Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi.

Ghafla wamekuwa wapooole! wenye nidhamu na heshima na taadhima!

Leo asubuhi kila ninapokatiza kukutana nao nasikia.. “Habari za asubuhi Brother, vipi familia mmeamkaje! Sisi pia ni wazima tunashukuru!!”

Ahsante sana Raja kwa mafunzo mujarabu kwa mtoto mtukutu.

Tukutane baadaye muone boli linavyochezwa!!!
Hakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]
 
Hakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]
Clip zipo nyingi sana cheki mitandaoni utaziona jamaa anaongea kama kakatwa kichwa vile anasahau kua ule ni mpira
 
Ila Yanga jamani wanachoiafanyia Simba sio poa!!

Yaani simba jana kapigwa matatu..
Yanga leo anmpiga mtu matatu..
huu pia ni unyanyasaji!!!!
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
 
Clip zipo nyingi sana cheki mitandaoni utaziona jamaa anaongea kama kakatwa kichwa vile anasahau kua ule ni mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]
Alisema rangi nyekundu wakiingia uwanjani watamwaga damu
Kumbe wamezimwaga kweli damu zao wenyewe[emoji1787]
 
Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!

Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi.

Ghafla wamekuwa wapooole! wenye nidhamu na heshima na taadhima!

Leo asubuhi kila ninapokatiza kukutana nao nasikia.. “Habari za asubuhi Brother, vipi familia mmeamkaje! Sisi pia ni wazima tunashukuru!!”

Ahsante sana Raja kwa mafunzo mujarabu kwa mtoto mtukutu.

Tukutane baadaye muone boli linavyochezwa!!!
Simba anacheza club bingwa makundi.
Yanga anacheza shirikisho (Timu zilizoshindwa club bingwa).
Hapo bado Simba ni best kuliko Yanga pamoja na Simba kufungwa.
 
Leo asubuhi kila ninapokatiza kukutana nao nasikia.. “Habari za asubuhi Brother, vipi familia mmeamkaje! Sisi pia ni wazima tunashukuru!!”

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom