Simba wamfukuze kocha

Simba wamfukuze kocha

Manara katoa povu lake kule balaa.
Sidhani kama kocha ni mbaya sana kivile. wakati mwingine michezaji yetu nayo inacheza kizembe sana.
Kama makocha mbona wamekuja wengi sana lakini kila siku tunaambulia machozi tu
 
Kina nyonzima na kichuya kila siku wapo bench,hata mkude alikuwa alikuwa anamweka bench kama siyo mashabiki kupiga kelele mkude leo asingekuwa na namba,hata Asante kwasi yupo bench,yule kocha fala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay we ndio kocha. Unamtoa nani acheze Kwasi?
 
Waafrika ni wabaguzi kuliko wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitetei kauli za kibaguzi, lakini hata hao Wazungu tunaowaona ndio watu wa mfano ni wababaishaji pia. Kwani si wao ndio wanaosema kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake? Tuseme, kwa kutumia kauli hiyo, maneno haya maovu dhidi ya Manara ni sahihi kwa kuwa aliyeyatoa ametumia uhuru huo?Huu ni mfano mmojawapo kwamba kauli hiyo ya uhuru wa maoni ni tata, si kuntu kama Wazungu wanavyotuaminisha.
 
Kina nyonzima na kichuya kila siku wapo bench,hata mkude alikuwa alikuwa anamweka bench kama siyo mashabiki kupiga kelele mkude leo asingekuwa na namba,hata Asante kwasi yupo bench,yule kocha fala sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila timu ina wachezaji wa akiba (benchi) wakicheza hao wakina kichuya na Niyonzima unaowataka basi kuna wengne watakaa benchi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom