Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Mo kawekeza hela,wachezaji wazuri ila hamna matokeo mazuri,kocha hana haja kulaumu mtu ,hana mbinu mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara katoa povu lake kule balaa.
Sidhani kama kocha ni mbaya sana kivile. wakati mwingine michezaji yetu nayo inacheza kizembe sana.
Kama makocha mbona wamekuja wengi sana lakini kila siku tunaambulia machozi tu
Maneno kama haya yakiandikwa na Mzungu kwenda kwa Mwafrika tunaita ubaguzi.Na bado, mtapotena na huyo beberu.
Ndevu kama mchungaji kiongozi wa Mashahidi wa Yehova au orthodox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay we ndio kocha. Unamtoa nani acheze Kwasi?Kina nyonzima na kichuya kila siku wapo bench,hata mkude alikuwa alikuwa anamweka bench kama siyo mashabiki kupiga kelele mkude leo asingekuwa na namba,hata Asante kwasi yupo bench,yule kocha fala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Best quote of january"Simba sio mama yangu wala baba yangu". Manara
Kwani Uongo? Mama yake simjui, lakini baba yake ni Sunday Manara - mchezaji mstaafu wa Yanga. Ndio maana anaweza kusema Simba siyo baba yake, lakini hawezi kusema Yanga siyo baba yake. Kwa sababu Yanga ndiyo baba yake!"Simba sio mama yangu wala baba yangu". Manara
Waafrika ni wabaguzi kuliko wazunguManeno kama haya yakiandikwa na Mzungu kwenda kwa Mwafrika tunaita ubaguzi.
Shabalala ambayo kukaba na krosi haweziOkay we ndio kocha. Unamtoa nani acheze Kwasi?
Sitetei kauli za kibaguzi, lakini hata hao Wazungu tunaowaona ndio watu wa mfano ni wababaishaji pia. Kwani si wao ndio wanaosema kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake? Tuseme, kwa kutumia kauli hiyo, maneno haya maovu dhidi ya Manara ni sahihi kwa kuwa aliyeyatoa ametumia uhuru huo?Huu ni mfano mmojawapo kwamba kauli hiyo ya uhuru wa maoni ni tata, si kuntu kama Wazungu wanavyotuaminisha.
Kila timu ina wachezaji wa akiba (benchi) wakicheza hao wakina kichuya na Niyonzima unaowataka basi kuna wengne watakaa benchi,Kina nyonzima na kichuya kila siku wapo bench,hata mkude alikuwa alikuwa anamweka bench kama siyo mashabiki kupiga kelele mkude leo asingekuwa na namba,hata Asante kwasi yupo bench,yule kocha fala sana
Sent using Jamii Forums mobile app