Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.
Damage ishafanyika tayari.
Wao Simba walitakiwa sema, kuwa wanafuatilia na mamlaka husika na watatoa taarifa.

Ilitakiwa Simba waongee na DCEA afu watoe taarifa yao kama timu. Kusema wanasubiria maamuzi ya vyombo husika huku wao wakitoa ushirikiano
 
Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.
Simba mna uelewa kiduchu sana, swala moja la msingi "Anafanya kazi Simba au hafanyi".
 
Simba mna uelewa kiduchu sana, swala moja la msingi "Anafanya kazi Simba au hafanyi".
Hafanyi umeshaambiwa, anafanya kibarua au almaarufu "deiwaka".
 
Hafanyi umeshaambiwa, anafanya kibarua au almaarufu "deiwaka".
Kwahiyo kibarua anakifanyia Namungo Fc?, Hicho kibarua ndio kinaondoa uhalali wa yeye kuwa mfanyakazi wa taasisi ya Simba? Poor argument kama hizi mnazitoa wapi??
Kwani hujui kama Dunia hii kuna watu wanafanya kazi kwa mikataba ya kudumu na mikatba ya muda ambao ndio huo mnoita dayworker!!
 
Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.
sio sahihi maelezo aliyotoa punda yanasemaje ,polisi huzungumza ulichosema mtuhumiwa hivyo tue wavumilivu tupo ndani ya MUDA
 
Makolo shida ipo pale pale msimu huu,leo tumejua biashara zenu haramu,kesho mchana kundi moja na waydad,al ahly na mamelodi,jioni Simba(heroin fc) 1-Namungo 3 watu weweeeeee πŸ˜€
 
Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zaidi.
 
Daah, afadhali tuendelee kutumia kiingereza. Hee, nilikuwa nimesahau, kumbe kiingereza sio lugha yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…