Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Eti huwa anafundisha makipa mara moja-moja kwa mwezi kwahiyo simba hawamtambui 😂
 
Chanzo cha taarifa tafadhali?
 
Umeamua ujijibu mwenyewe

Wamemkataa waliyemuomba kuwafundisha hao makipa..!! Kwani mkataba ni nini?

Simba waseme tu kwamba mzigo unawahusu, sema battery imechomoka ndo wanahaha

Kama ni hivi Mimi ni Mbumbumbu wa mikataba maana eti nilifundishwa kuna mkataba wa maandishi na mkataba wa maneno. Mwalimu yule Mburula akanambia eti mkataba si lazima uandikwe.


bora kula mihogo kuliko kula unga

Upuuzi wa kiwango cha SGR, wabebe mzigo ni wao. Kama taasisi haiwezi kutokujua mienendo ya mtumishi wake.

Ngada fc

Bora wangekaa kimya



This aint heaven it is hell with a smile
 
Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zaidi.
Hizi ni tuhuma nzito na kitendo cha hovyo kwa Simba nikumkana mfanyakazi wake, mfanyakazi hata Kama hana mkataba wakudumu bado ni wako, Mgunda amepewa mkanda Simba au bado?
 
Wangenipa mimi hiyo kazi ya kuandika press release ningeandika kwa ufasaha kuliko hii
 
Katika mazingira haya utasikia hadi shetani akikukana😄😄
 
Yani shida ni vile mijitopolo mnaihusisha Simba kama ndo walimwagiza hyo punda
 
Huenda na boss mo akawa muhusika mkuu
 
Makolo shida ipo pale pale msimu huu,leo tumejua biashara zenu haramu,kesho mchana kundi moja na waydad,al ahly na mamelodi,jioni Simba(heroin fc) 1-Namungo 3 watu weweeeeee 😀
Kulikoni humu tena🤨
 
Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zjamani

Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zaidi.
hata sisi hatupati picha tungetolewa na club africa ingekuwaje,kwa jinsi mlivyoshadadia ile droo waliyipambania hapa darusalaam...
 
Simba kuna muda ni wapumbavu sana.
Kama Simba ilipatana na huyo kocha kufundisha makipa wake kwa mwezi mmoja, maana yake huyo kipa ana mkataba wa kazi (ajira ya muda mfupi) na Simba. Hivyo simba walipaswa kuja na taarifa ya kumtambua mwajiriwa wao.

Nani kawaambia Simba kuwa hizo tuhuma za madawa ya kulevya zinazomkabili huyo kocha wa makipa zinaihusu Simba? Mbona Simba wanajivusha tuhuma zisizowahusu.


Mimi nilitegemea Simba waje na taarifa ya namna kama hii;
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuutarifu umma kuwa, kocha wetu wa makipa anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Japokuwa tuhuma hizo zinamhusu yeye binafsi lakini zinaweza kuharibu taswira nzima ya klabu yetu mbele ya jamii, hivyo klabu ya Simba kwa sasa imeamua kusitisha mkataba wake huku ikiendelea kusubiri hatma ya tuhuma hizo katika vyombo husika vya kisheria.
 
Hakika. Ndivyo walipaswa kusema. Mbumbumbu wakubwa.
 
Upuuzi wa kiwango cha SGR, wabebe mzigo ni wao. Kama taasisi haiwezi kutokujua mienendo ya mtumishi wake.

Ngada fc
Kwani manji aliposhikwa na ngada alikamatwa kama manji au taasisi ya yanga akiwa mdhamini wenu?
 
Au mnataka maziwa ya punda tunauza lita moya elfu 10. Simba guvu moya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…