Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Hoja hojaji, ikiwa mtuhumiwa ni muajiriwa wa simba kulikuwa na haja gani kuihusisha simba katika kuitaja ikifahamika simba inaiwakilisha nchi kimataifa? Busara na hekima haikutumika kuitaja simba ni kuharibu image yake kimataifa na nchi pia. Walipaswa kumtaja yeye kama induvidual one.
 
Shamba likiwa na bangi ni lako , ila shamba hilohilo likiwa na dhahabu ni la serikali
 
Tff iandae mechi kati ya walamihogo na wala ngada
aaah,mbon izo zishapigwa sana wala ngada wanachemka kila siku...we wachezaji wanakula ngada ndo wakashindane na wala mihogo
 
Kwani manji aliposhikwa na ngada alikamatwa kama manji au taasisi ya yanga akiwa mdhamini wenu?
Manji alipimwa mkojo ndio uliokutikana na dawa.
Hajakamatwa na kete.
Na hizo dawa zilizokutikana kwenye mkojo ni kwasababu ya madawa ya hospitali aliyokuwa akiyatumia kutokana na shida yake ya MOYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…