HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Ndio maana tuyafunga tangu 2019 kumbe yamekula unga?? Halafu wageni wasiowajua wakija wanawapa Sembe ili walegee. Punda nyinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha taarifa tafadhali?
Ukienda kwa Barbara ntakuazima dera ndo atakuelewa. Maana umejaliwa kalio mashalaaahWew kilete hicho kidude afu nikufuatie na ngada kwa
Kabwili Yuko vizuri Sana na wizara ilikanusha tuhuma zake🤣🤣. Ila hili mnaloNa sisi tuombe mfanyiwe check up hapo avic town tuwajue wale wote wqfuasi wa michezo ya kabwili ukiwemo na wewe
Naenda kukuletea ngada ili upate mzuka nikutifue vizuri🤣🤣Ukienda kwa Barbara ntakuazima dera ndo atakuelewa. Maana umejaliwa kalio mashalaaah
Leta reference ya wizara kukanushaKabwili Yuko vizuri Sana na wizara ilikanusha tuhuma zake🤣🤣. Ila hili mnalo
Usije ukajikuta unatifuliwa wewe zaidi ya dose yako ya kila siku ukashindwa kurudi kwenu madimbwiniNaenda kukuletea ngada ili upate mzuka nikutifue vizuri🤣🤣
Ndo yeyeee huoni anavyocheka cheka?Leta reference ya wizara kukanusha
Wakati clip tunayo akitingisha tako au wewe ndio kabwili umeqmua kumalizia hasira zako hapa?
Basi ngoja nimnaweNdo yeyeee huoni anavyocheka cheka?
Yanga tulia kikao hakikuhusuUtopolo wanapuyanga maneno humu hawana la maana.
Kama ana uwezo wa kuwanoa makipa kwanini asiwe kipa mwenyeweSimba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu.
Huenda kuna waliosalia nyuma yake wanajihami kinamnaUongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.
Kama walivyomkataa Manara wakati ule kuhusu watu kuhudhuria mechi yaoHiyo taarifa imekaa kinyonge sana na aliyeiandaa kafanya haraka haraka.
Taarifa kama hizo huwa zinaambatana msimamo wa Taasisi/timu juu ya swala husika.
Kwa mfano, hapo walipaswa waseme "timu ya simba inapinga biashara na matumizi ya madawa ya kulevya kwa ujumla"