Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Chanzo cha taarifa tafadhali?
simbasctanzania~p~Ck-p2eMOKTR~1.jpg
 
Na sisi tuombe mfanyiwe check up hapo avic town tuwajue wale wote wqfuasi wa michezo ya kabwili ukiwemo na wewe
Kabwili Yuko vizuri Sana na wizara ilikanusha tuhuma zake🤣🤣. Ila hili mnalo
 
Kabwili Yuko vizuri Sana na wizara ilikanusha tuhuma zake🤣🤣. Ila hili mnalo
Leta reference ya wizara kukanusha
Wakati clip tunayo akitingisha tako au wewe ndio kabwili umeqmua kumalizia hasira zako hapa?
 
Naenda kukuletea ngada ili upate mzuka nikutifue vizuri🤣🤣
Usije ukajikuta unatifuliwa wewe zaidi ya dose yako ya kila siku ukashindwa kurudi kwenu madimbwini
 
Leta reference ya wizara kukanusha
Wakati clip tunayo akitingisha tako au wewe ndio kabwili umeqmua kumalizia hasira zako hapa?
Ndo yeyeee huoni anavyocheka cheka?
 
Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu.
Kama ana uwezo wa kuwanoa makipa kwanini asiwe kipa mwenyewe
 
Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Huenda kuna waliosalia nyuma yake wanajihami kinamna
 
Toka sport pesa hadi sasa mbet ni mwezi mmoja tu?
 

Attachments

  • 20221115_153127.jpg
    20221115_153127.jpg
    118.3 KB · Views: 1
  • 20221115_113751.jpg
    20221115_113751.jpg
    88.3 KB · Views: 1
Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.

Huenda mtuhumiwa ndiye aliyejitambulisha kama mwajiriwa wa Simba SC
 
Hiyo taarifa imekaa kinyonge sana na aliyeiandaa kafanya haraka haraka.

Taarifa kama hizo huwa zinaambatana msimamo wa Taasisi/timu juu ya swala husika.

Kwa mfano, hapo walipaswa waseme "timu ya simba inapinga biashara na matumizi ya madawa ya kulevya kwa ujumla"
Kama walivyomkataa Manara wakati ule kuhusu watu kuhudhuria mechi yao
 
Back
Top Bottom