Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

Nextym inabidi tuwapige kama Azam
Naona goli moja limewapa haki ya kuongea
Mbumbumbu wana akili kubwa mno ya nje ya uwanja kama saa mbovu inavyopatia majira!! Huko nje hatuwawezi!! Goli 5 hatupati tena , makolo wameamka wanakabia juu ukuta wa kolowizard ukiongozwa na refa na kibendera mmoja!!

Kabla ya mechi kolo Karai anawanyetisha makolo wenzake refa nani miamala inarushwa kwa refa kama maroketi ya Gaza kwenda Israel , refa Sasii akija uwanjani hacheki kazi ni kuhakikisha anablock kila safari ya uto na hata tukifunga ni offside!!

Karai:Fuata Maelekezo goli moja tu, unasikia we Sasiiii?, ndiyo mzee! Karai : mi nani, We boss Mkuu!! Karai: goli moja tu!! Sasiii: Ndio Mzee, yani nishawashtukia uto hasa yule Boka Junior, nitakabia juu, wana masifa sana wale uto, leo hakuna kutamba Ki Mobeto wala yule mkongo Max yupo kila mahali uwanjani, usihofu mzee nitawakomesha uto kwanza mdomoni siwapendi!! Ila moyoni wamo mzee!!
 
Kwa mpira unaochezwa na Yanga

Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
Safari hii Simba walikwepa kuingia kwenye mfumo; Azam waliingizwa kwenye mfumo na almanusra wabugie 5G.

Yanga kwa mfumo wao ni tishio. Waarabu wa Algeria walivyongizwa kwenye mfumo tu wakavurugana na kukubali 4G ya haraka haraka
 
πŸ™†πŸ™†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba forever na ukubwa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…