ππππKwani unateseka?
Anaweweseka kabisaaaKwani unateseka?
Kwa nini tutulie mdogo wangu. Hebu wacheni tuwaombee njaa kidogo. πMsihangaike jamani hebu tulieni
Ila sioni mbaya ujue mdogo. Tutatesekea wapi kama sio kwenu watani zetu yaani kuwakera ndio raha kwetu hiyo. ππππAnaweweseka kabisaaa
Kwa nini tutulie mdogo wangu. Hebu wacheni tuwaombee njaa kidogo. [emoji41]
Ila sioni mbaya ujue mdogo. Tutatesekea wapi kama sio kwenu watani zetu yaani kuwakera ndio raha kwetu hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sapta Sapta.
Shopping kwa ajili ya Krismas na mwaka mpyaZahera kaenda wapi vileeee[emoji188][emoji188][emoji188]
Akirudi unishtue [emoji1][emoji1][emoji1]Shopping kwa ajili ya Krismas na mwaka mpya
Najua mnatuombea njaa iwe kimoja ila mie naamini atarudi tu kaenda kula Sikukuu kama we unavyotaka kwenda Arusha. ππZahera kaenda wapi vileeee[emoji188][emoji188][emoji188]
Najua mnatuombea njaa iwe kimoja ila mie naamini atarudi tu. [emoji23][emoji23]
Usijali mdogo wangu unitag tu ntakuja.Hahaaaaa Dada tuonane saa 12