Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kwani unateseka?
Anaweweseka kabisaaaKwani unateseka?
Kwa nini tutulie mdogo wangu. Hebu wacheni tuwaombee njaa kidogo. 😎Msihangaike jamani hebu tulieni
Ila sioni mbaya ujue mdogo. Tutatesekea wapi kama sio kwenu watani zetu yaani kuwakera ndio raha kwetu hiyo. 😂😂😂😂Anaweweseka kabisaaa
Kwa nini tutulie mdogo wangu. Hebu wacheni tuwaombee njaa kidogo. [emoji41]
Ila sioni mbaya ujue mdogo. Tutatesekea wapi kama sio kwenu watani zetu yaani kuwakera ndio raha kwetu hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sapta Sapta.
Shopping kwa ajili ya Krismas na mwaka mpyaZahera kaenda wapi vileeee[emoji188][emoji188][emoji188]
Akirudi unishtue [emoji1][emoji1][emoji1]Shopping kwa ajili ya Krismas na mwaka mpya
Najua mnatuombea njaa iwe kimoja ila mie naamini atarudi tu kaenda kula Sikukuu kama we unavyotaka kwenda Arusha. 😂😂Zahera kaenda wapi vileeee[emoji188][emoji188][emoji188]
Najua mnatuombea njaa iwe kimoja ila mie naamini atarudi tu. [emoji23][emoji23]
Usijali mdogo wangu unitag tu ntakuja.Hahaaaaa Dada tuonane saa 12