Simba wana kibarua kigumu mbele ya KMC

Aah wapi. Sura ya kuwa we ni shabiki wa Mikia sababu umeandika kishabiki pale. Kwa aina hii ya uchambuzi hata sikukubali Swahiba.

Uchambuzi wa kulalia sehemu moja. We ni mshabiki wa Mikia tu na ndio ukweli huo.
[emoji3][emoji3][emoji3]yamekuwa hayo Swaiba daahh wewe mwenyewe unajua Mimi Ni mtoto wa jangwani japo timu yetu ya kuangaunga na kina Boban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…