jang
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,415
- 1,186
Hahaha sawa sawa, matokeo ya mwisho ya KMC unayo lakini?
Bila shaka na shangwe nyingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka na shangwe nyingi tu
[emoji3][emoji3][emoji3]yamekuwa hayo Swaiba daahh wewe mwenyewe unajua Mimi Ni mtoto wa jangwani japo timu yetu ya kuangaunga na kina BobanAah wapi. Sura ya kuwa we ni shabiki wa Mikia sababu umeandika kishabiki pale. Kwa aina hii ya uchambuzi hata sikukubali Swahiba.
Uchambuzi wa kulalia sehemu moja. We ni mshabiki wa Mikia tu na ndio ukweli huo.
Hahaha sawa sawa, matokeo ya mwisho ya KMC unayo lakini?
Gemu saa 12 jioni daah3hrs to Go
Gemu saa 12 jioni daah
KMC Leo wanaweza kuwa KSMCHahaha sawa sawa, matokeo ya mwisho ya KMC unayo lakini?
Hebu ukooo! Mashabiki wa Yanga hatupogo hivyo Swahiba. 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3]yamekuwa hayo Swaiba daahh wewe mwenyewe unajua Mimi Ni mtoto wa jangwani japo timu yetu ya kuangaunga na kina Boban
Wanakuaje au Kama Mzee AkilimaliHebu ukooo! Mashabiki wa Yanga hatupogo hivyo Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 ila leo kazi mnayo. Aki vileWanakuaje au Kama Mzee Akilimali
Watatafutana hapa. Hawakawii kuchimba wakatuacha peke yetu.Balaaaa wanalo aisee
Mbona unani Include na Mimi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila leo kazi mnayo. Aki vile
Hiyo namba 2 waisome vizuri [emoji23][emoji23]Kikosi Cha Simba vs KMC leoView attachment 972169
Kwa kauli zako Swahiba mi nakuweka tu huko. 😂😂Mbona unani Include na Mimi?
Kakimbia njaa pale bwawani kuna ukame mtakatifu ShadeeyaZahera kaenda wapi vileeee[emoji188][emoji188][emoji188]
[emoji38][emoji38]tatizo unasoma kishabiki ndo maana unadhani hivoKwa kauli zako Swahiba mi nakuweka tu huko. [emoji23][emoji23]
Ni kweli KMC watawapiga picha ya ukumbusho Simba pale TaifaKMC Leo wanawapiga, Nkana Red Devil nao watawapiga. Hahaha football inamaajabu sana