Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo?Nakazia. "WANA KIBARUA KIGUMU"
HakikaHuyu atakimbia uzi baadae wewe usiwe na wasiwasi nae
Mwisho wa siku hao wa akiba wote mnawaingiza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ,hahahahaNakufananisha mamiii...wewe sio dada yangu H kweliMikia wanakufa 2-1
Cha ajabu kitu gani mkuu? Mbona hata uingereza wanafanya hicho kitu? Au hujui hilo?Maajabu ya soka Tanzania..Mohammed Rashid kaenda KMC kwa mkopo ila Mikia wamekataza asicheze mechi ya leo...
Hii ni ndoto tayariNakufananisha mamiii...wewe sio dada yangu H kweliMikia wanakufa 2-1