Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kiporo cha kwanza kimekuwa kitam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Kwa nini mlisimama wk 2 kama mna kikosi kipana nyie Mawifi FC.
Ukiona mtu anamwita mwenzake wifi ujue hiyo mtu ameolewa na kaka wa anayeitwaKwa nini mlisimama wk 2 kama mna kikosi kipana nyie Mawifi FC.
Bila kusimama itaingiaje?Najua umejua imesimama kwa hiyo ume feel hivyo viwili.Kwa nini mlisimama wk 2 kama mna kikosi kipana nyie Mawifi FC.
Pole ni kwamba tff hawakutupangia mechi, wangelitupangia tungelicheza, bass. Pole kwa huzuniKwa nini mlisimama wk 2 kama mna kikosi kipana nyie Mawifi FC.
Wanamwogopa Simba atawang'ataNaona vyura wote wamejificha kwenye kisima.
Hiv sis na wao Lin?Munishi Dida asante kumbe bado humo...
Rashid JUMA huyu mtoto ni hatari sana kwa baadae anajua hadi raha.
SALAMBA kaza BOCCO apigwe benchi na uzee wake.
MZAMIRU + NDEMLA upande ule wa vyura mnacheza hadi mfariki mnajua kuliko.
ZANA ni mapema kukupa point ila kwa mwanzo wako sio haba.
BUKABA punguza papara tulia ndio maana unateleza hovyo ebu jiamini bhana kama J.MURSHID
Yanga tunakuja.
Naona mleta mada UMELIWA!!..Nawaona simba kisaikorojia hawajakaa vema mawazo wameweka kwa Nkana ambao pia hawawezi kuwafunga. KMC wameimarika zaidi kwa hyo jiandaeni kufungwa
mhuu hatariNaona mleta mada UMELIWA!!..
Shadeeya hebu tupe pongezi na zawadi ya ushindi piaSesten Zakazaka Moisemusajiografii eti leo mnatoka Taifa?
Ikifika Kakolanya atakuwa mzuri atalipwa adakeHiv sis na wao Lin?