Simba wana kibarua kigumu mbele ya KMC

Simba wana kibarua kigumu mbele ya KMC

Shoga wewe unayejua imesimama na hata bei(manunuzi).
 
Munishi Dida asante kumbe bado humo...
Rashid JUMA huyu mtoto ni hatari sana kwa baadae anajua hadi raha.
SALAMBA kaza BOCCO apigwe benchi na uzee wake.
MZAMIRU + NDEMLA upande ule wa vyura mnacheza hadi mfariki mnajua kuliko.
ZANA ni mapema kukupa point ila kwa mwanzo wako sio haba.
BUKABA punguza papara tulia ndio maana unateleza hovyo ebu jiamini bhana kama J.MURSHID
Yanga tunakuja.
 
Hiv sis na wao Lin?
 
Back
Top Bottom