Hawazi kukujibu ....huyo Nyuma mwiko π π πHivi Mgunda ni kocha wa timu gani.
Hongera kwa utajiri.Simba ni nguvu moja β€οΈ
Na ikifika derby ya Simba na yanga basi nitaweka Bondi gari zangu tatu, BMW X6, CADILLAC ESCALADE, FORD RANGER RAPTOR.
πππ
Usinipe hongera kwa sababu nikifa nitaacha Mali zote katika ulimwengu. πππππHongera kwa utajiri.
Kwani mtoa hoja ni timu gani?Uwoga ni ugonjwa mbaya sana hasa ukiwa hujui unaogopa nini. Nilitegemea utopolo wangefurahia na kukaa kimya ili wasiwastue Simba kwamba wanaboronga ili watupige 10, badala yake wamejawa na hofu, uwoga na kukosa matumaini.
Nyerere aliwahi kusema Ukiona adui yako anakusifia sana jiulize umekosea wapi. Ila Ukiona adui yako anakuponda, wewe ziba masikio kama chura kiziwi maana unakuwa unampiga kwenye mshono. Safari hii utopolo wanapigwa kwenye mishono dadeki. Kelele nyingii ila sisi tumeziba masikio.
Mgunda ndio Aliyependekeza huu usajili mkuu?Hawazi kukujibu ....huyo Nyuma mwiko π π π
Hata namjua basi? Wee endelea kuperuzi tuuKwani mtoa hoja ni timu gani?
Labda gari ya miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba ni nguvu moja [emoji3590]
Na ikifika derby ya Simba na yanga basi nitaweka Bondi gari zangu tatu, BMW X6, CADILLAC ESCALADE, FORD RANGER RAPTOR.
[emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu kumbuka kombe wanalokwenda kushiriki lipo mbioni kufutwa na CAF. Kwa hiyo mwekezaji na viongozi wa Makolo ni lazima wafanye mazingaombwe ili kutuliza mzuka wa mashabiki zao.Wanamkusanyia wachezaji wapya kocha ajae badala ya kusajili wachezaji kutokana na philosophy ya mwalimu. Nimemsikia kocha mpya wa Singida black stars akitoa angalizo kuwa viongozi wamesajili 90% ya wachezaji bila ushauri wake.
Robertihno na Benchikha waligomba kuhusu wachezaji waliowakuta. Sasa hivi Simba wanachezaji kamali (probability) ileile ya kumkusanyia wachezaji kocha mpya ambae hawajamsajili.
Wemefeli kabla ya msimu haujaanza.
Kwamba kila tundu lililopo kwenye mwili wa Amfibia mwaka huu litakuwa linatoa milio ya pwiii na fwiii.Uwoga ni ugonjwa mbaya sana hasa ukiwa hujui unaogopa nini. Nilitegemea utopolo wangefurahia na kukaa kimya ili wasiwastue Simba kwamba wanaboronga ili watupige 10, badala yake wamejawa na hofu, uwoga na kukosa matumaini.
Nyerere aliwahi kusema Ukiona adui yako anakusifia sana jiulize umekosea wapi. Ila Ukiona adui yako anakuponda, wewe ziba masikio kama chura kiziwi maana unakuwa unampiga kwenye mshono. Safari hii utopolo wanapigwa kwenye mishono dadeki. Kelele nyingii ila sisi tumeziba masikio.
Lol....Usinipe hongera kwa sababu nikifa nitaacha Mali zote katika ulimwengu. πππππ
Umemuelewa kweli mtoa mada ndugu Mwasibu! Kwani huyo Mgunda ndiyo kocha mkuu wa timu msimu ujao, au ni care taker tu wa timu!!Hivi Mgunda ni kocha wa timu gani.
Lakini ni kocha wa Simba regardless of ukocha mkuu. Kwamba Mgunda akishirikiana na bench la ufundi na scouting hawana uwezo wa kujua mahitaji ya timu?Umemuelewa kweli mtoa mada ndugu Mwasibu! Kwani huyo Mgunda ndiyo kocha mkuu wa timu msimu ujao, au ni care taker tu wa timu!!
Lakini mwisho wa siku wakija makocha aina Benchika ndiyo hao hao tena wanaotoka hadharani na kulalamika kufundisha wachezaji wasiofundishika! Kisa tu wachezaji wote amewakuta kwenye klabu.Lakini ni kocha wa Simba regardless of ukocha mkuu. Kwamba Mgunda akishirikiana na bench la ufundi na scouting hawana uwezo wa kujua mahitaji ya timu?
Kocha wa timu ni Mgunda, yeye na wenzie wawetoa mahitaji ya wachezaji. Nyie washauri wa timu mnataka wangefanyaje? Wawe wanawapa Uto kazi ya kusajili?Lakini mwisho wa siku wakija makocha aina Benchika ndiyo hao hao tena wanaotoka hadharani na kulalamika kufundisha wachezaji wasiofundishika! Kisa tu wachezaji wote amewakuta kwenye klabu.
Nasikia kila mchezaji anatembea na passport yake maana hawajuani.ππWanamkusanyia wachezaji wapya kocha ajae badala ya kusajili wachezaji kutokana na philosophy ya mwalimu. Nimemsikia kocha mpya wa Singida black stars akitoa angalizo kuwa viongozi wamesajili 90% ya wachezaji bila ushauri wake.
Robertihno na Benchikha waligomba kuhusu wachezaji waliowakuta. Sasa hivi Simba wanachezaji kamali (probability) ileile ya kumkusanyia wachezaji kocha mpya ambae hawajamsajili.
Wemefeli kabla ya msimu haujaanza.