ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sawa uzuri mtu wa kupewa lawama yupo pale jahazi litakapo anza kuingiza majiVyura mbona mnawashwa sana?? Scout kashaona shida iko wapi viongozi pia wapo wameona shida iko wapi na wamesajili moja kati ya sajili bora kabisa maana ndio wachezaji tunaohitaji kwenye timu yetu nashangaa nyie vyura ndio mnalalamika. Timu inaundwa upya ndiomaana tunavuta vijana wadogk na wala hatuna presha ya makombe maana tushayabeba sana huu ni muda wa kutengeneza bomu la nuclear likija kulipuka patakuwa hapatoshi