Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kwa hiyo kama mgunda sio kocha mkuu akija kocha akakaa miezi mitatu akaondoka basi kocha mwingine akija tuanze usajili mpya kwa kuwa na yeye atakuwa na watu wake?Umemuelewa kweli mtoa mada ndugu Mwasibu! Kwani huyo Mgunda ndiyo kocha mkuu wa timu msimu ujao, au ni care taker tu wa timu!!
Yatunze maneno Yako haya ili uyakumbuke baada ya ligi kuanza, Yanga imeshajipata, kawaulize mamelodsUwoga ni ugonjwa mbaya sana hasa ukiwa hujui unaogopa nini. Nilitegemea utopolo wangefurahia na kukaa kimya ili wasiwastue Simba kwamba wanaboronga ili watupige 10, badala yake wamejawa na hofu, uwoga na kukosa matumaini.
Nyerere aliwahi kusema Ukiona adui yako anakusifia sana jiulize umekosea wapi. Ila Ukiona adui yako anakuponda, wewe ziba masikio kama chura kiziwi maana unakuwa unampiga kwenye mshono. Safari hii utopolo wanapigwa kwenye mishono dadeki. Kelele nyingii ila sisi tumeziba masikio.
Mbona benchikha alikuwa hawapangi akina chasambi na balua? Kwanini robertihno alikuwa hapendi uchezaji wa chama? Philosophy ya mwl matters wakati wa usajili.Lakini ni kocha wa Simba regardless of ukocha mkuu. Kwamba Mgunda akishirikiana na bench la ufundi na scouting hawana uwezo wa kujua mahitaji ya timu?
Mwalimu aliyepo ni Mgunda, unataka asajili kwa ajili ya falsafa ya mwalimu yupi mwingine?Mbona benchikha alikuwa hawapangi akina chasambi na balua? Kwanini robertihno alikuwa hapendi uchezaji wa chama? Philosophy ya mwl matters wakati wa usajili.
Yeye na Tola boy 😀😀,zamani alikuwa JulioNi toilet paper ya simba sio kocha.
Mwenyewe akisema timu yake msilielie 😀😀Simba haiendeshwi kwa mihemko ya vyura fc..simba msimu uliopita matumizi 20b mapato 20b+. Hatudaiwi na mchezaji sio nyie zaidi ya bil1.5 mnatumia kuvunja mikataaba . Mnasajili dube na chama na kumuongezea mkataba aziz yaani hao watatu tu mishahara yao ni kimbembe na msipoangalia italeta chuki baina ya wachezaji na kuua timu mnaendesha timu kimalayamalaya
Amechoka,kukiwa na neema hakumbukwi,alikuwa analetwa wakati wa shida tuJulio ameshawakataa.
Mkataba wa Mgunda ulikiwsha juzi; labda kama ameongezewa janaHivi Mgunda ni kocha wa timu gani.
Kujua mahitaji ya timu ni jambo JINGINE na kujua philosophy ya kocha mpya ni jambo JINGINE,Lakini ni kocha wa Simba regardless of ukocha mkuu. Kwamba Mgunda akishirikiana na bench la ufundi na scouting hawana uwezo wa kujua mahitaji ya timu?
Hivi Mgunda ni kocha wa timu gani?ileile ya kumkusanyia wachezaji kocha mpya ambae hawajamsajili.
Hujajibu swali......... "Hivi Mgunda ni kocha wa timu gani"?Mkataba wa Mgunda ulikiwsha juzi; labda kama ameongezewa jana
Imejipata milele? Imedrop baselona sembuse utopolo? Hata Simba iliwahi kujipata tukuambie ukawaulize alahly?Yatunze maneno Yako haya ili uyakumbuke baada ya ligi kuanza, Yanga imeshajipata, kawaulize mamelods
Hawawezi kusajili kwa ajili ya kocha ambaye hayupo. Wanasajili kwa ajili ya mahitaji yaoKujua mahitaji ya timu ni jambo JINGINE na kujua philosophy ya kocha mpya ni jambo JINGINE,
Kama umeisha juzi, kwa akili ya kawaida unafikiri huu usajili ni kwa mujibu wa ripoti ya nani?Mkataba wa Mgunda ulikiwsha juzi; labda kama ameongezewa jana
Mgunda hata pre season haendiHivi Mgunda ni kocha wa timu gani.
Mchezaji mali ya clubHawawezi kusajili kwa ajili ya kocha ambaye hayupo. Wanasajili kwa ajili ya mahitaji yao