Simba wanakusanya wachezaji wapya badala ya kusajili wachezaji wapya

Sawa uzuri mtu wa kupewa lawama yupo pale jahazi litakapo anza kuingiza maji
 
Yatunze maneno Yako haya ili uyakumbuke baada ya ligi kuanza, Yanga imeshajipata, kawaulize mamelods
Hivi na nyie mnaweza jisifu kupitia Mamelod? Mbona hamkuwakazia Al Ahly ?
 
Sio kocha mkuu wa Simba Wala msaidizi wake ila ni mtu mwenye mapenzi na klabu ya Simba.
Yule ni mwajiriwa wa Simba SC ... Suala la mapenzi na klabu mpelekee Jamhuri Kihwelu na Boniphace Mkwasa.
 
subiri filimbi upulizwe, ndo utaina maana halisi ya uzi huu. Gamondi yeye anaziba paa pale tu panapovuja (very specific registration), Azam pia kocha anajua ni kwanini anaacha mchezaji na kwanini anaongeza mchezaji (very specific), simba wanakusanya wachezaji (general), "sijui watamfaa kocha?" sijui wataclick? sijui watamwelewa kocha?. Maana kocha mwenyewe anaetumika (kama ni mgiunda) hana uhakika wa kuwa kocha mkuu wa kikosi. Usajili wa wachezaji ni kama kutafuta miwani ya kuonea maandishi, mgonjwa mwenyewe ndiyo achague size yake inayomfaa. Kocha mkuu inakuwa vizuri kama atasema mwenyewe aletewe mchezaji yupi hasa kwenye timu ambayo haikufanya vizuri kwa misimu 3 mfululizo,
 

Waachie wao. Hayatuhusu. Sisi tuendelee kusajili.
 

Daaah.... Hapa umeongea kimpira sana. Nimegundua sisi mashabiki njaa huwa tunakurupuka sana kama huyu dogo badala tukaze na team yetu tunahangaika na Simba wanafanya nini.
 
Kwa hiyo kama mgunda sio kocha mkuu akija kocha akakaa miezi mitatu akaondoka basi kocha mwingine akija tuanze usajili mpya kwa kuwa na yeye atakuwa na watu wake?
Ungeanza kwa usajili wa kocha mkuu kwanza kabla ya wachezaji. Hii ingesaidia kujua kocha anahitaji wachezaji wa aina ipi kutokana na style yake uwanjani. Sasa hivi mnakusanya kundi la wachezaji badala ya kusajili wachezaji.
 
Kwani shida iko wapi mpishi ukija vyakula vimejaa stoo we kazi yako kupika tu na kukaangiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…