Simba wanakusanya wachezaji wapya badala ya kusajili wachezaji wapya

Nawashangaa mambwiga kibao waropoka kwa kukarii tu eti Simba inasajili bila uwepo wa kocha sijui huyu Juma Mgunda ni mwimba taarabu pale Simba.
Kama juma ndiye anaesajili basi itachekesha sana kama juma asipopewa ukocha mkuu wa Simba na Matola kuwa msaidizi wake. Inaweza kutokea vurugu kubwa kama aliyewasajili ataomdoshwa au kufanywa msaidizi wa kocha.
 
Kijana tulia mbona unapanic wacha tusajili
 
Hivi dereva akusanyiwe LC V8 na Range Rovers halafu alalamike kuwa gari hazifai?
Mkusanyiko wenu huu ili ugeuke timu (squad) ligi imeshachezwa 40% ya mechi zote za ligi. Huezi kwenda na kongamano hili wachezaji kwenye caf confederation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…