Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

Italian sportswear company Diadora is the official kit manufacturer for Tanzanian giants Simba SC under a partnership with local company Jayrutty Investment Company Limited. Jayrutty signed a five-year deal with Simba SC and subsequently entered into a separate agreement with Diadora to produce the club's official kits and merchandise for the upcoming season
 
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba

Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu

Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi

Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake

Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
Mkataba wa jezi umewahi kuusoma! Mimi cjauona na siwezi kuongea au kulaumu.

Nb: Ni akili kama ungetoa ngalizo kuliko ujuaji.
 
Makolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bure😂😂😂
Akili ndogo umeusoma mkataba?????

Kweli UJINGA NI KIPAJI PIA!
 
Akili ndogo umeusoma mkataba?????

Kweli UJINGA NI KIPAJI PIA!
Wewe mwenye akili kubwa tuambie wanalipwa sh ngapi na diadora, kama siyo ufahari wa kuvaa brand ili kuwakoga majirani huku mia huna
 
Wewe mwenye akili kubwa tuambie wanalipwa sh ngapi na diadora, kama siyo ufahari wa kuvaa brand ili kuwakoga majirani huku mia huna
Hao ni mbumbumbu aliyewapa ahadi hewa ni jayrutty wala diadora hajawahi kujuana na Simba
 
Makolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bure😂😂😂
Diadora sio mdhamini bali ni brand ,

Hivi umeshawahi kuona star yeyote duniani anavaa vitu ambavyo havina brand?
Gucci
Lacoste
Ray band
Polo
Diesel
Nike
Adidas
Puma
Converse
Lee copper
Reebok
New balance
Aca joe
Lee jeans.
Wrangler jeans.
Levis jeans.
Nk.
Huwezikuvaa malapulapu ukajiita star.
Lazima uvae brand zenye kueleweka..
 
View attachment 3461709 uache kukurupuka huoni logo ya puma hapo?
Wewe ndiyo umekurupuka on
ngara23 , hao Puma na Man City Wana Kit deal la €1 billions linaloisha 2035.
Hapo Simba wamekosea. Huenda hawajakosea Ila viongozi wao na Jay-rutty wameshapiga pesa kwa diadora. Wanajua shabiki na wanachama wao mbumbumbu hawatahoji.
Hushangai watu wenye biashara zao kubwa na shughuli nyingi wanang'ang'ania uongozi wa Simba?
 
Diadora sio mdhamini bali ni brand ,

Hivi umeshawahi kuona star yeyote duniani anavaa vitu ambavyo havina brand?
Gucci
Lacoste
Ray band
Polo
Diesel
Nike
Adidas
Puma
Converse
Lee copper
Reebok
New balance
Aca joe
Lee jeans.
Wrangler jeans.
Levis jeans.
Nk.
Huwezikuvaa malapulapu ukajiita star.
Lazima uvae brand zenye kueleweka..
Mastaa wanavaa na kulipwa siyo bure.
Ronaldo anavaa Nike na kuvuta £218 M
Messi anavaa Adidas na kuvuna £103M
Neymar anavaa Nike na kulipwa £84M
Vivyo hivyo kwa vilabu, Nike, Adidas, Puma nk wanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu.
Wenzetu mnavaa kuwakoga majirani😂
 
Anavaa Nike kiwanjani lakini akienda dukani kununuwa miwani au kitu kingine nje ya uwanja ananunuwa brands,ray band, Carter, Gucci nk.
Na halipwi chochote.
 
Sababu simba haijatoa taarifa kama yenyewe simba wana mkataba na diadora. Kama ambavyo man city imetoa taarifa kwamba ina mkataba na puma
Mpewe taarifa nyie kina nani?? 😇😇😇
Mkataba alioingia Jayruty na diodora unatosha wao kukaa kwny jezi kulingana na vipengele walivyowekeana vyenye manufaa ya pande zote..ikiwemo kuinufaisha Simba kwa namna moja au nyingine....
 
Anavaa Nike kiwanjani lakini akienda dukani kununuwa miwani au kitu kingine nje ya uwanja ananunuwa brands,ray band, Carter, Gucci nk.
Na halipwi chochote.
Nyie mnavaa diadora uwanjani bure, wenye kujua thamani zao hawatoi promo bure kuringishia majirani
 
Mpewe taarifa nyie kina nani?? 😇😇😇
Mkataba alioingia Jayruty na diodora unatosha wao kukaa kwny jezi kulingana na vipengele walivyowekeana vyenye manufaa ya pande zote..ikiwemo kuinufaisha Simba kwa namna moja au nyingine....

Acha ujinga wewe. Subcontractor haingii kwenye mkataba wa main contractor na mteja.

Mfano hai.. nike hana kiwanda hata kimoja cha kutengeneza jezi wala raba. Nike huwa Anatumia viwanda vya subcontractor wake kutengeneza jezi zake na viatu vya nike.

Ila huwezi kukuta nike anaweka na lebo ya subcontractor kwenye jezi za man utd, ama barcelona. Ila Anaweka logo ya nike only sababu ndie ana mkataba na hizo timu

Hao kina puma unaowaona kwenye jezi za man city na mamelodi ni sababu wana mkataba na hizo timu.. japo uhalisia hata hao kina puma jezi hizo wanazitengeneza kwenye viwanda vya subcontractor wao.. ila hawaruhusiwi kuweka logo za hao subcontractor.
 
Nyie mnavaa diadora uwanjani bure, wenye kujua thamani zao hawatoi promo bure kuringishia majirani
Huyo Kiba kaona Diadora pekee?
Mo cola mbona anatamgaza bure?
 
Pp
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba

Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu

Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi

Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake

Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
mbumbumbu fc
 
Kwahiyo unataka kusema Simba hawakujua jay rutty anatengeneza wapi jezi yani ghafla ghafla tu jezi zimekuja zina diadora 😂😂😂
Bangi bana
 
Acha ujinga wewe. Subcontractor haingii kwenye mkataba wa main contractor na mteja.

Mfano hai.. nike hana kiwanda hata kimoja cha kutengeneza jezi wala raba. Nike huwa Anatumia viwanda vya subcontractor wake kutengeneza jezi zake na viatu vya nike.

Ila huwezi kukuta nike anaweka na lebo ya subcontractor kwenye jezi za man utd, ama barcelona.

Hao kina puma unaowaona kwenye jezi za man city na mamelodi ni sababu wana mkataba na hizo timu.. japo uhalisia hata hao kina puma jezi hizo wanazitengeneza kwenye viwanda vya subcontractor wao.. ila hawaruhusiwi kuweka logo za hao subcontractor.b
Mbona mnawaka hasira??.
Nyie ndo wenye akili kuwashinda Simba? Acheni ujinga na kujiona mnajua kuliko walioko jikoni.
Ukiona logo ipo pale basi ni kwa manufaa ya pande zote mbili..
Acheni uzuzu....
Hizo za Puma sijui Nike wenyewe mmezisikia tuu...so endeleeni kusikia na za diodora na Simba
 
Back
Top Bottom