CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Mkataba wa jezi umewahi kuusoma! Mimi cjauona na siwezi kuongea au kulaumu.Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu
Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi
Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake
Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
Akili ndogo umeusoma mkataba?????Makolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bureπππ
Wewe mwenye akili kubwa tuambie wanalipwa sh ngapi na diadora, kama siyo ufahari wa kuvaa brand ili kuwakoga majirani huku mia hunaAkili ndogo umeusoma mkataba?????
Kweli UJINGA NI KIPAJI PIA!
Rage aliwapatia sanaπHao ni mbumbumbu aliyewapa ahadi hewa ni jayrutty wala diadora hajawahi kujuana na Simba
Diadora sio mdhamini bali ni brand ,Makolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bureπππ
Wewe ndiyo umekurupuka onView attachment 3461709 uache kukurupuka huoni logo ya puma hapo?
Mastaa wanavaa na kulipwa siyo bure.Diadora sio mdhamini bali ni brand ,
Hivi umeshawahi kuona star yeyote duniani anavaa vitu ambavyo havina brand?
Gucci
Lacoste
Ray band
Polo
Diesel
Nike
Adidas
Puma
Converse
Lee copper
Reebok
New balance
Aca joe
Lee jeans.
Wrangler jeans.
Levis jeans.
Nk.
Huwezikuvaa malapulapu ukajiita star.
Lazima uvae brand zenye kueleweka..
Anavaa Nike kiwanjani lakini akienda dukani kununuwa miwani au kitu kingine nje ya uwanja ananunuwa brands,ray band, Carter, Gucci nk.Mastaa wanavaa na kulipwa siyo bure.
Ronaldo anavaa Nike na kuvuta Β£218 M
Messi anavaa Adidas na kuvuna Β£103M
Neymar anavaa Nike na kulipwa Β£84M
Vivyo hivyo kwa vilabu, Nike, Adidas, Puma nk wanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu.
Wenzetu mnavaa kuwakoga majiraniπ
Ww unajuaje kama hawanalogo ipo hapo kwa Sababu puma ana mkataba na man city.
Jiulize je diadora ana mkataba wowote na simba?View attachment 3461765
Ww unajuaje kama hawana
Mpewe taarifa nyie kina nani?? πππSababu simba haijatoa taarifa kama yenyewe simba wana mkataba na diadora. Kama ambavyo man city imetoa taarifa kwamba ina mkataba na puma
Nyie mnavaa diadora uwanjani bure, wenye kujua thamani zao hawatoi promo bure kuringishia majiraniAnavaa Nike kiwanjani lakini akienda dukani kununuwa miwani au kitu kingine nje ya uwanja ananunuwa brands,ray band, Carter, Gucci nk.
Na halipwi chochote.
Mpewe taarifa nyie kina nani?? πππ
Mkataba alioingia Jayruty na diodora unatosha wao kukaa kwny jezi kulingana na vipengele walivyowekeana vyenye manufaa ya pande zote..ikiwemo kuinufaisha Simba kwa namna moja au nyingine....
Huyo Kiba kaona Diadora pekee?Nyie mnavaa diadora uwanjani bure, wenye kujua thamani zao hawatoi promo bure kuringishia majirani
mbumbumbu fcNimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu
Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi
Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake
Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
Hahahah ana uchungu mwingiWewe mwenye akili kwa nini usi tangaze ya kwako?
Mbona mnawaka hasira??.Acha ujinga wewe. Subcontractor haingii kwenye mkataba wa main contractor na mteja.
Mfano hai.. nike hana kiwanda hata kimoja cha kutengeneza jezi wala raba. Nike huwa Anatumia viwanda vya subcontractor wake kutengeneza jezi zake na viatu vya nike.
Ila huwezi kukuta nike anaweka na lebo ya subcontractor kwenye jezi za man utd, ama barcelona.
Hao kina puma unaowaona kwenye jezi za man city na mamelodi ni sababu wana mkataba na hizo timu.. japo uhalisia hata hao kina puma jezi hizo wanazitengeneza kwenye viwanda vya subcontractor wao.. ila hawaruhusiwi kuweka logo za hao subcontractor.b