Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

Mkuu Mimi nazungimzia mfano star anakwenda dukani personal ananunuwa chote iwe kiatu,miwani,shirts,saa unazani atavaa bila brand ya kueleweka?
Sio Kila kitu star anachovaa ameingia mkataba na kampuni..

Hyo ndy point yng kwamba watu wanaojielewa lazima wavae brand na sio kuvaa kitu hakina jina.
 
Nahisi kuna watu haya mambo mmeanza kuyasikia juzi juzi kwa hiyo kuna mihemko fulani inawaendesha.
 
Huyo Kiba kaona Diadora pekee?
Mo cola mbona anatamgaza bure?



Je alikiba kalipwa na diadora maana jez yake ina hiyo nembo
Post zilizofunga mjadala
 
Unazungunzia Star wa Jalalani au Star wa Ulaya? Maana master wote wanaMuziki na Wana michezo Mfano Mbappe au Ronaldo wote awa wameingia mikataba na Makampuni ya nguo, ni ngumu kukuta Ronaldo anaenda Dukani kununua au kuvaa nguo na viatu vya kampuni ambayo hana mkataba nayo, Ronaldinho aliingia mkataba na Pepsi sasa siku moja Ronaldinho kwenye kujiwa mezani paliwekwa Soda ya Cocola, Baada Pepsi kuona tu wakavunja mkataba wa Matango ya Biashara na Ronaldinho, Viongozi wetu hawajui Biashara ya Matangazo, ndiyo Maana MO anawajazia matangazo kwenye Jezi ya Simba.
 
Ila jezi ya simba imejaa matangazo jamani🤦🤦 utadhani ubao wa matangazo pale ofisi ya mtendaji wa kata
 
Kwhyo Ronaldo akiona hata miwani dukani hawezi kununuwa hadi aingie mkataba na kampuni?
Sio kwl mkuu..
Punguzeni mambo ya vijiweni.
Kwhyo Ronaldo hata simu anayinunuwa ameingia mkataba na kampuni ya simu?
Shuka anayojifunika kaingia mkataba?
Sio kwl.
Hyo Kiba ukiangalia kaitu alichovaa kina brand either Nike au Adidas kwahyo ameingia mkataba na kiwanda cha viatu?
Au anavaa kandambili za Bata?
Mastaa wakiwa nje ya camera au nje ya uwanja wanavaa vitu brand na hawana mkataba wowote na kampuni.
 
Mkuu ukizungumzia Nike, Adidas unazungumzia Dunia na Ukimtaja Ally Kiba kwenye Hoja za Nike au Adidas ni sawa utake kufananisha Bahari na mto Msimbazi ambao Dunia hauuju. wachezaji wa Timu kubwa mfano wachezaji wa Liverpool timu yao inaingia mikataba na makampuni Makubwa kupitia Wachezaji we ujawahi kusikia kampuni imetoa inawapa wachezaji magari ya Lamborghini ili watumie kwa mwaka mzima, Neyma aliingia mkataba na Nike wa kuvaa nguo na Viatu zenye nembo za Nike tu na hawezi kuvaa nguo au viatu kampuni nyingine mpaka mkataba umalizike, ni sawa Ally Kiba akiwa Balozi wa Hallotel hawezi kuvaa nguo zenye nembo za Tigo au Vidacom.
 
Nimetaja Ally kiba sababu Kuna bandiko Moja mitandaoni ameoneka amevaa jezi ya Simba halafu kwenye neno BETWAY ameliziba na ameweka nembo ya SIMBA.
kwmba hatangazi DIADORA Wala BETWAY bure.
Yeye pia ikawa ni agenda kwenye Uzi huu.
Ila ninachojuwa Mimi ni kwmba watu wa maana hawavai vitu bila kuwa na Brand.
Hata iwe nzr kiasi gn kama hakina brand ni FAKE.
 
Hapo kwa Ally Kiba atakua ataki BETWAY labda kwa sababu zake binafsi na siyo za Kibiashara, Kwasababu Wasanii wetu na Wanamichezo bado wapo Nyuma na Ulimwengu wa sanaa na michezo, Ndiyo maana leo hii utakuta wasanii wana kusanywa kama kuku na CCM na kutumbuiza kila mkoa kwenye kampeni, Mpaka kampeni zikiisha ukiwauliza umeingiza kiasi gani cha pesa hakuna jibu la maana atakalo kupa, ndiyo Maana wakiugua magonjwa yasiyoambukiza wanashindwa kujitibu wanabaki kutembeza bakuli, Ukiwauliza wasanii mnamikataba na CCM ya kuitungia nyimbo hawana jibu, hawajui kama Viongozi wa Chama wao wanatajilika kupitia Kampeni.
 
Sawa mkuu
 
Baada ya yanga kuulizwa jezi zao wametengeneza wapi wakaja na hilo kwamba diadora inafanya nn kwenye jezi ya simba hebu tuambie jezi za yanga msimu huu zimetengenezwa na kampuni gani.
 
Kwa hiyo Sheria Ngowi (Designer) ni sawa na Diadora
 
Ndo maana nikamwambia awali kabisa huna akili
Simba inatakiwa ilipwe pesa ili wavae nembo ya diadora. Simba ni brand kubwa.
Ndo maana Ali Kiba anajua thamani yake aligoma kuvaa betway anataka wakae mezani wampe pesa avae awatangaze.
Acha umbumbumbu
Yaani diadora iwalipe Simba kwa kuwatengenezea jezi? We kweli TUTUSA
 
Simba au Yanga wakitaka jezi za Puma, Nike, Adidas itabidi walipe hizo kampuni. Wakati huo huo Puma, Nike, Adidas wanazilipa timu kama Manchester United, Real Madrid, Barcelona nk
 
Simba au Yanga wakitaka jezi za Puma, Nike, Adidas itabidi walipe hizo kampuni. Wakati huo huo Puma, Nike, Adidas wanazilipa timu kama Manchester United, Real Madrid, Barcelona nk
Wawalipe kwasababu gani na mbona hizo Kampuni zipo kwenye timu ndogo kuliko Simba na Yanga, Ukiangalia Ligi za Misri, Tunisia. Ata Ghana na South Africa utaona timu ndogo kama Namungo au Kmc zina vaa jeza za Puma, Nike, na Adidas.
 
Wawalipe kwasababu gani na mbona hizo Kampuni zipo kwenye timu ndogo kuliko Simba na Yanga, Ukiangalia Ligi za Misri, Tunisia. Ata Ghana na South Africa utaona timu ndogo kama Namungo au Kmc zina vaa jeza za Puma, Nike, na Adidas.
Wanalipa
Namungo au KMC wakitaka watengenezewe jersey na Nike itabidi wailipe Nike. Kwa sababu Nike wakitengeneza jezi za KMC kwa standard zao nani akanunua?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…