Simba wanamuacha au wanamuuza Fredy Michael fungafunga?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Simba hawana uongozi wenye weledi Wala kocha wa level ya Simba, labda nianze kwa kusema hivyo.

Freddy Michael fungafunga wametangaza kutaka kumuuza kwa timu ambayo hawaijui kama itamsajili baada ya kufaulu vipimo, lakini kabla ya kumuuza tayari wameleta mchezaji mpya wa kigeni (Ateba) kuziba nafasi ya fungafunga ambe kaenda tu kwenye majaribio na vipimo kutokana na maelezo ya Ahmed Ally, msemaji wa Simba..

Baada ya Yanga kukitabaruku kiksi kipya cha Simba kwenye mechi ya ngao kocha na uongozi kama sehemu yao ya kujitetea kwanini simba imefungwa Wanataka kumuacha Freddy hata baada ya kwenda nae preseasn na baadae kumtangaza kuwa mchezaji wao wa msimu huu, na baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa katika ligi nyingi. Simba wanawadanganya mashabiki wao kuwa wamemuuza Freddy ambae wamemuacha.

Hata kama huna akili huwezi kuwaelewa, Yaani kumuuzia mtu chakula ulichokitupa jalalani tayari. Huku ni kuminya haki za mchezaji huyu ambae kama ungemuacha mapema huenda angepata timu hapa nchini na kwingine kabla ya madirisha mengi ya usajili kufungwa.

Lakini je, US Algers wasipomtaka Freddy ataelekea wapi? Hii ina maana kuwa ama Freddy aendelee kubaki Simba na Ateba aondoke au wapumguze mchezaji wa kigeni mwingine kikosini au Simba wafungiwe kucheza mpira, maana huwezi kuacha mchezaji wakati madirisha ya usajili yamefungwa, ataenda wapi?
 
Unamlaumu kocha kua ana uwezo mdogo, Naomba kujua una taaluma gani kwenye sekta ya soka kumzidi kocha ambatnisha vyeti vyako ili tuendelee na mjadala.

Una ushahidi gani kua Fredy hajauzwa bali kaachwa? Qmbatanisha ushahidi ili tuendelee na mjadala

Siyo unashiba magimbi na uji wa dona unakuja hapa kufungua mada amabazo hauna uwezo wa kuzijadili, mna tabia ya kusikia vimaneno kwenye vijiwe vya kahawa unakurupa kuja kuanzisha mada huku ukidhani ina uzito kumbe ni pumba akili yako ndogo imekudanganya unaishia kuumbuka
 
Kulikuwa na report ya kocha baada ya ligi kumalizika kuhusu nani aachwe na nani abaki. Kocha huyu Fadlu alikuwa na mchezaji huyu Freddy kwenye pre-season Misri, nae akaridhika na kiwango cha mchezaji hadi akasababisha

Kulikuwa na report ya kocha baada ya ligi kumalizika kuhusu nani aachwe na nani abaki, Freddy alitajwa na report ya kocha kuwa anafaa kuendelea na timu. Kocha huyu Fadlu alikuwa na mchezaji huyu Freddy kwenye pre-season Misri, nae akaridhika na kiwango cha mchezaji kwenye mazoezi na kwenye mechi 3 walizocheza pre-season na akawahakiishia viongozi wa simba kuwa Freddy yuko safi mtangazeni kwaajili ya msimu huu. Kivumbi ni baada ya Yanga kuifunga Simba kwenye mechi ya ngao ya jamii.
 
Simba hawana uongozi wenye weledi Wala kocha wa level ya Simba, labda nianze kwa kusema hivyo.

Freddy Michael fungafunga wametangaza kutaka kumuuza kwa timu ambayo hawaijui kama itamsajili baada ya kufaulu vipimo, lakini kabla ya kumuuza tayari wameleta mchezaji mpya wa kigeni (Ateba) kuziba nafasi ya fungafunga ambe kaenda tu kwenye majaribio na vipimo kutokana na maelezo ya Ahmed Ally, msemaji wa Simba..

Baada ya Yanga kukitabaruku kiksi kipya cha Simba kwenye mechi ya ngao kocha na uongozi kama sehemu yao ya kujitetea kwanini simba imefungwa Wanataka kumuacha Freddy hata baada ya kwenda nae preseasn na baadae kumtangaza kuwa mchezaji wao wa msimu huu, na baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa katika ligi nyingi. Simba wanawadanganya mashabiki wao kuwa wamemuuza Freddy ambae wamemuacha.

Hata kama huna akili huwezi kuwaelewa, Yaani kumuuzia mtu chakula ulichokitupa jalalani tayari. Huku ni kuminya haki za mchezaji huyu ambae kama ungemuacha mapema huenda angepata timu hapa nchini na kwingine kabla ya madirisha mengi ya usajili kufungwa.

Lakini je, US Algers wasipomtaka Freddy ataelekea wapi? Hii ina maana kuwa ama Freddy aendelee kubaki Simba na Ateba aondoke au wapumguze mchezaji wa kigeni mwingine kikosini au Simba wafungiwe kucheza mpira, maana huwezi kuacha mchezaji wakati madirisha ya usajili yamefungwa, ataenda wapi?
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
 
Mmeshalipa madeni mnayodaiwa au mnashupalia Mambo ya Simba .
Kama kaachwa na inawauma msajilini.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Tunamwita pembeni, tunamwambia tunavunja naye Mkataba na yeye atafaidika kwa hela ya kuvunjiwa Mkataba lakini ataje kiwango cha juu ambacho sisi tutachukuwa percent yetu.
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
 
Kulikuwa na report ya kocha baada ya ligi kumalizika kuhusu nani aachwe na nani abaki. Kocha huyu Fadlu alikuwa na mchezaji huyu Freddy kwenye pre-season Misri, nae akaridhika na kiwango cha mchezaji hadi akasababisha

Kulikuwa na report ya kocha baada ya ligi kumalizika kuhusu nani aachwe na nani abaki, Freddy alitajwa na report ya kocha kuwa anafaa kuendelea na timu. Kocha huyu Fadlu alikuwa na mchezaji huyu Freddy kwenye pre-season Misri, nae akaridhika na kiwango cha mchezaji kwenye mazoezi na kwenye mechi 3 walizocheza pre-season na akawahakiishia viongozi wa simba kuwa Freddy yuko safi mtangazeni kwaajili ya msimu huu. Kivumbi ni baada ya Yanga kuifunga Simba kwenye mechi ya ngao ya jamii.
Hakuna unalojua jamaa angu maelezo yako yanaonyesha ni jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo kuhusu hili na soka kiujumla

Kila kocha ana mahitaji yake na ana aina ya wachezaji anaowahitaji ili kuendana na mfumo wake, ripoti ya kocha aliyepita haiwezi kuzuuia mipango ya kocha mpya maka hamuhitaji mchezaji aliyekubalika na kocha aliepita, elewa hilo

Fadlu hajawai kusema popote kua anamkubali fredy na kwenda pre season si kigezo cha kutokuachwa, toka mechi ya kwanza ya kirafiki ilipomalizika kule misri Fadlu alisema kuna shida kwenye safu ya ushambuliaji na hata game za kirafiki toka simba day mpanga ngao ilionyesha wazi kua fredt hatupo kwenye mipango ya fadlu
 
Haiwezekani kusajili wachezaji bila kumhusisha kocha atakaewatumia. Lakini kocha haiwezekani dirisha la usajili unaenda pre-season wiki 4 na wachezaji sehemu tulivu kabisa unafanya mazoezi na kucheza mechi 3 za preseason bila kujua mcheazaju nani anakufaa na nani hakufai hadi dirisha linafungwa. Mchezaji huyu ameharibiwa afya na carrier yake, lazima alipwe fweza nyingi sana na adhabu juu wa wahusika. Yanga hii ya Mzize iliyocheza na timu ya bundaslig ina balaa sana, haiuwa kipimo sahihi cha kupima ubora wa Freddy Michael mwenye magoli 6 nusu msimu kwenye ligi namba 6 Afrika.
Simba dilisha loa bado halija fungwa wew utopwinyo
 
Tu
Hakuna unalojua jamaa angu maelezo yako yanaonyesha ni jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo kuhusu hili na soka kiujumla

Kila kocha ana mahitaji yake na ana aina ya wachezaji anaowahitaji ili kuendana na mfumo wake, ripoti ya kocha aliyepita haiwezi kuzuuia mipango ya kocha mpya maka hamuhitaji mchezaji aliyekubalika na kocha aliepita, elewa hilo

Fadlu hajawai kusema popote kua anamkubali fredy na kwenda pre season si kigezo cha kutokuachwa, toka mechi ya kwanza ya kirafiki ilipomalizika kule misri Fadlu alisema kuna shida kwenye safu ya ushambuliaji na hata game za kirafiki toka simba day mpanga ngao ilionyesha wazi kua fredt hatupo kwenye mipango ya fadlu
Tulipouliza ni nani anasajili kikosi bila kuweko kwa kocha mkuu uongozi ulijibu huyu mwl amehusika zaidi na usajili. Lakini alipoluwa preseason mwl alisikika akikisifia kikosi chake. Hakusema Kuna tatizo kwenye kikosi. Baada ya kufungwa na Yanga akaanza kuweweseka,
 
Back
Top Bottom