Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
 
Ficha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
𝐒𝐚𝐬𝐚 𝐫𝐢𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐮𝐥𝐢𝐨𝐩𝐢𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐊𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐩𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢? [emoji23] 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐤𝐢𝐩𝐨𝐭𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐨𝐨𝐡 𝐥𝐢𝐠𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐡𝐚𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢
 
Achana nayo hayana akili ya mpira mkuu
 
𝐒𝐚𝐬𝐚 𝐫𝐢𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐮𝐥𝐢𝐨𝐩𝐢𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐊𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐩𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢? [emoji23] 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐤𝐢𝐩𝐨𝐭𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐨𝐨𝐡 𝐥𝐢𝐠𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐡𝐚𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢
Kumbe tatizo la Simba nipamoja na mashibiki Mimi nilidhani ni wachezaji na uongozi maana tatizo la Simba siyo kocha, mgunda ametuthibitishia kwamba siyo kocha, akipewa timuanatumia hata wale ambao hawana majina
 
Wachezaji wote wa yanga aliowatumia gamond kubeba ubingwa wa NBC aliwasajili yeye?

Hapa ishu ni uongozi kuwa na umoja na kusajili wachezaji wenye ubora kulingana na ripoti ya kocha aliyepita.

Wakati Yanga inawasajili hakina Bangala , mayele, Djuma n.k yule aliyekuwa kocha wenu aliyehamia far rabat alikuwepo? Mbona timu ilifanya vizuri na ikabeba ubingwa kwa ripoti ya kocha aliyepita?
 
Simba inabidi kabla ya june kuisha iwe na kocha mkuu.

nafasi za viongozi wa bodi ziwe zimeshajazwa.
Walau kufanya usajili wa wachezaji 3 hadi 5.
Kuhakikisha ikifika july 10, timu ianze kambi.

Vinginevyo tutaendelea kulia.
 
Ficha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
Unabisha bure tu ila jamaa kaongea point sana

Sasa kila kocha ana falsafa yake unataka kutumia ripoti ya kocha wa msimu uliopita alafu kocha mpya atumie falsafa yake au ya kocha aliyepita
 
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Sasa wewe unawashtua namna hii si utafanya warekebisha makosa na baadaye kuunda timu itakayotusumbua mwakani? Sisi YANGA tunataka kuchukua makombe makubwa yote hadi 2030 kwa kupitia mapungufu yao, lakini wewe unapowatonya mapema vile unakuwa hututendei haki
 
Wachezaji wote wa yanga aliowatumia gamond kubeba ubingwa wa NBC aliwasajili yeye?

Hapa ishu ni uongozi kuwa na umoja na kusajili wachezaji wenye ubora kulingana na ripoti ya kocha aliyepita.

Wakati Yanga inawasajili hakina Bangala , mayele, Djuma n.k yule aliyekuwa kocha wenu aliyehamia far rabat alikuwepo? Mbona timu ilifanya vizuri na ikabeba ubingwa kwa ripoti ya kocha aliyepita?
Kocha ana impact ndogo sana kwenye matokeo ya Yanga.

Hapo ni siasa rushwa na uchawi.
 
Sasa wewe unawashtua namna hii si utafanya warekebisha makosa na baadaye kuunda timu itakayotusumbua mwakani? Sisi YANGA tunataka kuchukua makombe makubwa yote hadi 2030 kwa kupitia mapungufu yao, lakini wewe unapowatonya mapema vile unakuwa hututendei haki
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom