Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

Kwahiyo kila kocha anaekuja aje na wachezaji wake??mpira wawapi huo, dirisha la usajili halimsubirii kocha. Tumesajili vitasa yeye aje atajua anawatumiaje akishindwa achimbe
KWANI BENCHIKHA KAONDOKA LINI? KOCHA/BENCHI LA UFUNDI NDIYE MDAU MUHIMU KWENYE TIMU AMBAE KAMA MAMBO YANGEKUWA YANAKWENDA VIZURI ANGEKUWA WA KWANZA KUTAMBULISHA KABLA YA WACHEZAJI YEYOTE. hEBU OONA, WATU WANAHARAKISHA KUMTAMBULISHA LAWI BADALA YA KUWAHISHA KUMTAMBULISHA KOCHA.
 
Ficha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
Kocha mpya anataka wachezaji wengine, hakubaliani na usajili. Kuonyesha kuwa kocha hakuhusika na usajili
 
Wachezaji wote wa yanga aliowatumia gamond kubeba ubingwa wa NBC aliwasajili yeye?

Hapa ishu ni uongozi kuwa na umoja na kusajili wachezaji wenye ubora kulingana na ripoti ya kocha aliyepita.

Wakati Yanga inawasajili hakina Bangala , mayele, Djuma n.k yule aliyekuwa kocha wenu aliyehamia far rabat alikuwepo? Mbona timu ilifanya vizuri na ikabeba ubingwa kwa ripoti ya kocha aliyepita?
Anajitoa ufahamu 😀
 
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Ulitukanwa utadhani umechukua mke wa Mtu kumbe ulikuwa unawasanua ukweli.
 
Ulitukanwa utadhani umechukua mke wa Mtu kumbe ulikuwa unawasanua ukweli.
Simba kuna watu wanaipenda timu yao bila kuupenda mchezo wa mpira wenyewe. Hawaangalii mpira wanaangalia timu. Wakusanja wavulana wakampa Ahmed Ally awanadi kuyazuga mazuzu eti 7bilioni zimetumika kusajili.
 
Back
Top Bottom