Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtifuano ndani ya Simba ni mkubwa. Mo kumbe hajaweka 20b wajumbe wa bodi walihabarisha umma, lakini viongozi walikuwa wanawadanganya wanachama wao isipokuwa Kigwangala TU.Tatizo la Simba SC ni Mo anaipeleka Simba SC hatua 1 mbele na kuirudisha hatua 4 nyuma, lipo jambo kuhusu yeye haliko sawa kama kiu yake kuhusu Simba SC alivyoikusudia moyoni hivyo kwa sasa anaangalia zaidi Kuhusu yeye, Tuombe uzima kuna siku huko mbeleni ataropoka
Mzee lupweko kwenye ujinga wakoUsitudanganye ukadhani hatujui mpira wa kiafrika. Ukisajili mchezaji mzuri atafanya kazi na kocha yeyote.
Kwa hiyo kocha mzungu atoke Ulaya aje asajili wachezaji Simba anawajua?Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Hakuna kufeli tunakimbizana na muda hakuna kulemba wachezaji wazuri tunawajua kuliko kochaMchezaji / wachezaji ni mali ya club ndio maana akiuzwq club inapata hela km watakaa vzr ktk mkataba...
Achana nao hao mambumbu hawajielewi ngoja ligi ianze halafu waanze kulala timu zikishinda kwamba zinahongaHuwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Chama na DubeGamondi kamsajili mchezaji gani ?
Chama ameanza kusajiliwa na utopolo hata gamondi haijui Tanzania.Chama na Dube
Ahaa. Kumbe Chama aliichezea Yanga kabla ya Gamond !Chama ameanza kusajiliwa na utopolo hata gamondi haijui Tanzania.
Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.Ahaa. Kumbe Chama aliichezea Yanga kabla ya Gamond !
Ndiyo maana kolo yupo nafasi ya 3 na yupo kombe la losers.
Sasa nimeelewa.
kama una akili nzuri basi una kazi ngumu sana ya kuwaaminisha watu kuwa chama sio chaguo la gamondi; lakini kama huna akili nzuri basi itakuwa ni rahisi sana kwako kuwaaminisha watu kuwa chama sio chaguo la gamondi.Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.
Kingine ukiwa kocha haimaanishi mchezaji atakayesajiliwa kipindi chako basi ni chaguo la kocha. Chama ni kipenzi cha hersi tangu akiwa sio kiongozi, na amehangaika kutaka kumsajiri misimu mi4 iliyopita kipindi hicho gamondi anaijua Simba tu kwa hapa tz
Kwahiyo kila kocha anaekuja aje na wachezaji wake??mpira wawapi huo, dirisha la usajili halimsubirii kocha. Tumesajili vitasa yeye aje atajua anawatumiaje akishindwa achimbe𝐒𝐚𝐬𝐚 𝐫𝐢𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐮𝐥𝐢𝐨𝐩𝐢𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐧𝐚𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐊𝐨𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐩𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢? [emoji23] 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐤𝐢𝐩𝐨𝐭𝐞𝐚𝐧𝐚 𝐨𝐨𝐡 𝐥𝐢𝐠𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐡𝐚𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢
Wahi Milembe. Hujachelewa sana. Unaweza kupona.Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.
Kingine ukiwa kocha haimaanishi mchezaji atakayesajiliwa kipindi chako basi ni chaguo la kocha. Chama ni kipenzi cha hersi tangu akiwa sio kiongozi, na amehangaika kutaka kumsajiri misimu mi4 iliyopita kipindi hicho gamondi anaijua Simba tu kwa hapa tz