Msimu uliopita si ndio huwa wa mgunda na matola? Sasa hapa nani afiche ujinga? Au msimu huu ulioisha simba alimaliza na kocha gani?Ficha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
๐๐๐ฌ๐ ๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐จ๐๐ก๐ ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐ฉ๐ข๐ญ๐ ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐๐จ๐๐ก๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐๐ก๐๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐จ ๐ก๐๐ฐ๐๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข? [emoji23] ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐๐๐ง๐ ๐จ๐จ๐ก ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ก๐๐ข๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐๐ง๐ข ๐๐๐ก๐๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ขFicha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
Achana nayo hayana akili ya mpira mkuu๐๐๐ฌ๐ ๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐จ๐๐ก๐ ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐ฉ๐ข๐ญ๐ ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐๐จ๐๐ก๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐๐ก๐๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐จ ๐ก๐๐ฐ๐๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข? [emoji23] ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐๐๐ง๐ ๐จ๐จ๐ก ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ก๐๐ข๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐๐ง๐ข ๐๐๐ก๐๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข
Hawaelewi mambo ya mpira kazi kelele.Gamondi kamsajili mchezaji gani ?
Usitudanganye ukadhani hatujui mpira wa kiafrika. Ukisajili mchezaji mzuri atafanya kazi na kocha yeyote.Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Kumbe tatizo la Simba nipamoja na mashibiki Mimi nilidhani ni wachezaji na uongozi maana tatizo la Simba siyo kocha, mgunda ametuthibitishia kwamba siyo kocha, akipewa timuanatumia hata wale ambao hawana majina๐๐๐ฌ๐ ๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐จ๐๐ก๐ ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐ฉ๐ข๐ญ๐ ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐๐จ๐๐ก๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐๐ก๐๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐จ ๐ก๐๐ฐ๐๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข? [emoji23] ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐๐๐ง๐ ๐จ๐จ๐ก ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ก๐๐ข๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐๐ง๐ข ๐๐๐ก๐๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข
Unabisha bure tu ila jamaa kaongea point sanaFicha ujinga wako hapa... Usajili utategemea zaidi ripoti ya kocha wa msimu uliopita mengine mbwembwe....
Sasa wewe unawashtua namna hii si utafanya warekebisha makosa na baadaye kuunda timu itakayotusumbua mwakani? Sisi YANGA tunataka kuchukua makombe makubwa yote hadi 2030 kwa kupitia mapungufu yao, lakini wewe unapowatonya mapema vile unakuwa hututendei hakiHuwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Kocha ana impact ndogo sana kwenye matokeo ya Yanga.Wachezaji wote wa yanga aliowatumia gamond kubeba ubingwa wa NBC aliwasajili yeye?
Hapa ishu ni uongozi kuwa na umoja na kusajili wachezaji wenye ubora kulingana na ripoti ya kocha aliyepita.
Wakati Yanga inawasajili hakina Bangala , mayele, Djuma n.k yule aliyekuwa kocha wenu aliyehamia far rabat alikuwepo? Mbona timu ilifanya vizuri na ikabeba ubingwa kwa ripoti ya kocha aliyepita?
Wewe ndo mfuasi halisi wa Rage aliyewaita mashabiki wa Simba kuwa mbumbumbu.Kocha ana impact ndogo sana kwenye matokeo ya Yanga.
Hapo ni siasa rushwa na uchawi.
HahahahahaSasa wewe unawashtua namna hii si utafanya warekebisha makosa na baadaye kuunda timu itakayotusumbua mwakani? Sisi YANGA tunataka kuchukua makombe makubwa yote hadi 2030 kwa kupitia mapungufu yao, lakini wewe unapowatonya mapema vile unakuwa hututendei haki