Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

Mchezaji / wachezaji ni mali ya club ndio maana akiuzwq club inapata hela km watakaa vzr ktk mkataba...
 
Robertihno na Bemchikha walishindwa kuwatumia wachezaji waliowakuta kwani riporti haikuwepo?
 
Hii ni maajabu na sio mara ya kwanza kufanya hivi, ni kawaida ya makocha kuwa na list ya wachezaji wanaotaka huduma zao ili wafiti kwenye mifumo yake na kupata matokeo mazuri. Msimu ukianza wakipuyanga atasema hakupewa nafasi ya kuchagua wachezaji wake.
 
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Wameshamsajili nani?
 
Kwa hio mna wa copy Yanga?
 
Labda tunaendelea na Guadiola Mnene, tukibadili gia angani tutaendelea na kilio tu
 
Simba wasipoendelea na akina Mgunda wanaofanya usajili wataula wa chuya.
 
Simba wasipoendelea na akina Mgunda wanaofanya usajili wataula wa chuya
Msimu uliopita si ndio huwa wa mgunda na matola? Sasa hapa nani afiche ujinga? Au msimu huu ulioisha simba alimaliza na kocha gani?
Sisi ni whistle blowers TU, kazi ni kwao.
 
Kusema ukweli Simba kuna mahala tunapakosea sana mpaka hatujui nini tufanye nini tuache, kipindi cha raha kimeisha sasa ni maumivu kwa kila uchao.
Watakuja na zile story za "Ngoma kaibwa airport, Onana ni MVP, nk). Binafsi naona Simba ikienda kupata shida ileile na makocha wao wajao; fukuzafukuza ya makocha itaendelea kama wataendelea kuwasajilia wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…