Mtifuano ndani ya Simba ni mkubwa. Mo kumbe hajaweka 20b wajumbe wa bodi walihabarisha umma, lakini viongozi walikuwa wanawadanganya wanachama wao isipokuwa Kigwangala TU.Tatizo la Simba SC ni Mo anaipeleka Simba SC hatua 1 mbele na kuirudisha hatua 4 nyuma, lipo jambo kuhusu yeye haliko sawa kama kiu yake kuhusu Simba SC alivyoikusudia moyoni hivyo kwa sasa anaangalia zaidi Kuhusu yeye, Tuombe uzima kuna siku huko mbeleni ataropoka
Mzee lupweko kwenye ujinga wakoUsitudanganye ukadhani hatujui mpira wa kiafrika. Ukisajili mchezaji mzuri atafanya kazi na kocha yeyote.
Kwa hiyo kocha mzungu atoke Ulaya aje asajili wachezaji Simba anawajua?Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Hakuna kufeli tunakimbizana na muda hakuna kulemba wachezaji wazuri tunawajua kuliko kochaMchezaji / wachezaji ni mali ya club ndio maana akiuzwq club inapata hela km watakaa vzr ktk mkataba...
Achana nao hao mambumbu hawajielewi ngoja ligi ianze halafu waanze kulala timu zikishinda kwamba zinahongaHuwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Chama na DubeGamondi kamsajili mchezaji gani ?
Chama ameanza kusajiliwa na utopolo hata gamondi haijui Tanzania.Chama na Dube
Ahaa. Kumbe Chama aliichezea Yanga kabla ya Gamond !Chama ameanza kusajiliwa na utopolo hata gamondi haijui Tanzania.
Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.Ahaa. Kumbe Chama aliichezea Yanga kabla ya Gamond !
Ndiyo maana kolo yupo nafasi ya 3 na yupo kombe la losers.
Sasa nimeelewa.
kama una akili nzuri basi una kazi ngumu sana ya kuwaaminisha watu kuwa chama sio chaguo la gamondi; lakini kama huna akili nzuri basi itakuwa ni rahisi sana kwako kuwaaminisha watu kuwa chama sio chaguo la gamondi.Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.
Kingine ukiwa kocha haimaanishi mchezaji atakayesajiliwa kipindi chako basi ni chaguo la kocha. Chama ni kipenzi cha hersi tangu akiwa sio kiongozi, na amehangaika kutaka kumsajiri misimu mi4 iliyopita kipindi hicho gamondi anaijua Simba tu kwa hapa tz
Kwahiyo kila kocha anaekuja aje na wachezaji wake??mpira wawapi huo, dirisha la usajili halimsubirii kocha. Tumesajili vitasa yeye aje atajua anawatumiaje akishindwa achimbe๐๐๐ฌ๐ ๐ซ๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐จ๐๐ก๐ ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐ฉ๐ข๐ญ๐ ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐๐จ๐๐ก๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐๐ก๐๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐จ ๐ก๐๐ฐ๐๐ฃ๐ฎ๐ข ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข? [emoji23] ๐ก๐๐ฅ๐๐๐ฎ ๐ฆ๐ค๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐๐๐ง๐ ๐จ๐จ๐ก ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ก๐๐ข๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐๐ง๐ข ๐๐๐ก๐๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข
Wahi Milembe. Hujachelewa sana. Unaweza kupona.Panua akili kidogo tu kama unavoruhusu mwiko ukae nyuma. Ni hivi, chama sio chaguo la gamondi kimfumo na kifalsafa, kwanza gamondi alishawahi sema chama yupo slow mno kwake.
Kingine ukiwa kocha haimaanishi mchezaji atakayesajiliwa kipindi chako basi ni chaguo la kocha. Chama ni kipenzi cha hersi tangu akiwa sio kiongozi, na amehangaika kutaka kumsajiri misimu mi4 iliyopita kipindi hicho gamondi anaijua Simba tu kwa hapa tz