THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Kawadharau sanaHabar mwanajukwaa
Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.
Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.
Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.😂
Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?
Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.
#Jumapili NjemaView attachment 2969640
VIPI RUFAA YANGA wanasemaje kwani NUSU FAINAL ya kwanza imechezwaHabar mwanajukwaa
Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.
Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.
Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.[emoji23]
Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?
Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.
#Jumapili NjemaView attachment 2969640
Wamekamia mechi,ukitaka kujua kiwango cha halisi subiri wakicheza na Azam au KMC. Sema jana Yanga tulijua kwamba watakuja kwa nguvu, baada ya kukosa chance tatu dk 10 za mwanzo, tukaanza kupoozesha mpira then msako ukaanza.Habar mwanajukwaa
Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.
Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.
Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.😂
Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?
Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.
#Jumapili Njema
View attachment 2969640
Ila huyu jamaa ana dharau sana[emoji23][emoji23]Habar mwanajukwaa
Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.
Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.
Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.[emoji23]
Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?
Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.
#Jumapili Njema
View attachment 2969640
7-2VIPI RUFAA YANGA wanasemaje kwani NUSU FAINAL ya kwanza imechezwa
Na Gamondi alikuwa na furaha na tabasamu kwanzia anaingia uwanjani hadi mpira ukiwa unaendelea hakuwa mwenye presha kabisa, tofauti na BenchikhaTimu ndogo ndogo hizi ikiwemo Simba wakikutana na Dubwana kubwaaaa kama Yanga lazima waanze kucheza kwa presha kubwa hio ni kawaida....Kusema ukweli jana Yanga kacheza mpira wa kawaida sana licha tumeshinda hatukuuwa na ule ukamiaji wa sana
Jana Yanga wakicheza mechi kwa kutumia Injini Moja kubwa yaani Khalid Aucho ila MaX na Muda ni Injini kubwa mbili ambazo Gamondi hakutaka zifanye kazi.Na Gamondi alikuwa na furaha na tabasamu kwanzia anaingia uwanjani hadi mpira ukiwa unaendelea hakuwa mwenye presha kabisa, tofauti na Benchikha
Hapana nadhani simba ndio kuna shida zaidi ile kauli ya Rage inajidhihirisha dhahiri shahiriIla huko Yanga kuna shida mahala ,kauli ya Haji Manara iheshimiwe .
Kuzidiwa bila ushindi unaitaje kwa Lugha yenu?ingekuwa aibu kama Gamondi angekubali kuwa Yanga ilizidiwa. Hata alipopaki bus nyumbani dhidi ya Mamelodi, ingekuwa aibu kwake kusema kwamba amezidiwa, badala yake akasema ni mbinu ya mchezo. So mimi sijashangaa akisema hayo
Dharau ya kiwango cha IBM😂Kawadharau sana
Menyewe yakajua yamecheza na ile Yanga ya moto.Jana Yanga hawakujitoa kwa ukamilifu, utaona kipindi cha pili walivyoRelax, tunaijua Yanga ya kipindi cha pili inavyokuaga hasa ikipania mechi
Hahahahaha ujue mpira kama hujui sio vzr kuongeaKuzidiwa bila ushindi unaitaje kwa Lugha yenu?
Na aliyezidiwa akipata ushindi nako mnaitaje kwa Lugha yenu?
Je ukiona timu ina mzidi mwenzake na inashida pia unaitaje kwa Lugh yenu?
Nikuambie tu kitu kimoja mpira is full of techniques ukiona kitu flani jua ni mbinu.