Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

ingekuwa aibu kama Gamondi angekubali kuwa Yanga ilizidiwa. Hata alipopaki bus nyumbani dhidi ya Mamelodi, ingekuwa aibu kwake kusema kwamba amezidiwa, badala yake akasema ni mbinu ya mchezo. So mimi sijashangaa akisema hayo
Na uzuri mpira ni mchezo wa wazi na kocha wa Mamelodi alikiri mbele ya waandishi wa habari kuwa alizidiwa mbinu na Yanga kwa mechi zote mbili ndio maana alishindwa kupata goli. Sasa wewe na kocha wa Mamelodi nani anayejua mpira? Au unadhani ku possess mpira ndio kumzidi mpinzani? Mamelodi alizidi possession ila ndio aliyeongozwa kwa kushambuliwa Yanga akawa na on target nyingi kuliko wao kwenye firsts leg.

Mechi ya Simba takwimu ni hizi hapa, niambie ni angle ipi Simba iliiziddi Yanga hadi ufikie kusema Yanga alizidiwa na Simba
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;.

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Ball possession, shots on target, pass accuracy na conners tulimwachia Makolokolo ISIPOKUWA techniques, tactics, winning mentalities na disciplines ndizo tulitembea nazo Utopolo tukamla Makolokolo 2 - 1 Full Time.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…