Ni kweliAcha wafurahie mkuu maana ndio ushindi wao msimu huu , maana hawana kingine cha kuwapa faraja zaidi ya goli LA sakho na kwenda misri
Lazima uliugua sana utotoni"Ukimtoa Kikwete na baba manara mashabiki wa Yanga wote waliobaki hawana akili " manara voice
Mbona wewe umeshindwa kuficha upumbavu wakoUjinga hauwezi kuwaondoka ninyi....
Mchezaji wa Simba kachukua Tuzo ya Goli bora Afrika... Alafu wewe unakuja hapa unaleta ngonjera....
Nina mashaka na weledi wako kisoka.....
Ficha ujinga wako!
Ngoja tusubir msimu ujao afunge tenaUjinga hauwezi kuwaondoka ninyi....
Mchezaji wa Simba kachukua Tuzo ya Goli bora Afrika... Alafu wewe unakuja hapa unaleta ngonjera....
Nina mashaka na weledi wako kisoka.....
Ficha ujinga wako!
Kwakuwa wewe ndio mama yangu ulienizaa nakubaliLazima uliugua sana utotoni
Wewe mgonjwa wa zika tuondolee utaahira wako hapa. Sasa hapa si ndiyo wewe unaleta habari za hilo goli, nyani wa pori la Utopolo mumeumia sana,na bado safari hii mpaka mtamfukuza somji somji na Msomali wake. Dalili ya mvua ni mawingu,mumeshapanic mapemaaa! Eti mkamuone Rais Samia kwa ajili ya bangi za takadini wenu! Are you crazy?Jaman hili ni goli tuuuuu na haluondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi. Pia, haliondoi ukweli kwamba mmepigwa na Yanga mara mbili na kunyang'anywa vikombe (Sakho akiwa ndani).
My advice: shughulikeni na tatizo la kufanya vibaya kwenye AWAY GAMES (mechi za Dar mmefanya vzr kuliko Yanga). Vinginevyo mtaendelea kushangilia goli bora hadi mwakani
Ungemaliza elimu ya msingi usingeandika hayaWewe mgonjwa wa zika tuondolee utaahira wako hapa. Sasa hapa si ndiyo wewe unaleta habari za hilo goli, nyani wa pori la Utopolo mumeumia sana,na bado safari hii mpaka mtamfukuza somji somji na Msomali wake. Dalili ya mvua ni mawingu,mumeshapanic mapemaaa! Eti mkamuone Rais Samia kwa ajili ya bangi za takadini wenu! Are you crazy?
Una dalili zoteKwakuwa wewe ndio mama yangu ulienizaa nakubali
Sawa mama angu mzazi ulienizaa siwezi kukupinga maana nyinyi ni mama zetu mmetuzaa na kwa uchungu lazima tuwapende ndio maana nakupenda mama anguUna dalili zote
Mijitu mizima kujitoa ufafamuKipi kikuumacho
Wewe uto yakuhusu nini? Au ndo wa-washwax2Jaman hili ni goli tuuuuu na haluondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi. Pia, haliondoi ukweli kwamba mmepigwa na Yanga mara mbili na kunyang'anywa vikombe (Sakho akiwa ndani).
My advice: shughulikeni na tatizo la kufanya vibaya kwenye AWAY GAMES (mechi za Dar mmefanya vzr kuliko Yanga). Vinginevyo mtaendelea kushangilia goli bora hadi mwakani