Jaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi.
Pia, haliondoi ukweli kwamba mmepigwa na Yanga mara mbili na kunyang'anywa vikombe (Sakho akiwa ndani).
My advice: shughulikeni na tatizo la kufanya vibaya kwenye AWAY GAMES (mechi za Dar mmefanya vzr kuliko Yanga). Vinginevyo mtaendelea kushangilia goli bora hadi mwakani