Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Makolo wameinvest mpira wa mdomoni ( wakizamani) huku wakimtegemea Ahmed ally Kwa propaganda ili kushinda.... mfano...kawajaza mashabiki kuwa waanze kuhesabu magoli ....Baada ya kufika 3 [emoji23][emoji23]......
Baada ya kukandwa...kasema Simba ni timu ya maajabu
Huku wakisahau kuwa mpira ni uwekezaji ya kutafuta quality players, na vipengele vyake ....Simba imeaibisha taifa Kwa kufungwa home by ground jambo ambalo ni fedheha sana
Nb makolo wajue ...soka halichezwi mdomoni[emoji23][emoji23]